Tetesi: ESTIM kujenga barabara Kimara - Kibaha

Tetesi: ESTIM kujenga barabara Kimara - Kibaha

Estim wako vyema in capital,equipments na personel..uhusiano wao na konoike umewabeba sana,sasa wanaweza compete na mchina squarely!
1.bagamoyo _ msata.
2.morroco _ mwenge
3.mbezi mwisho_tangi bovu
4.makumbusho bus stand sorrounding roads
5.morroco square.
6.posta twin towers.
HAPO NAMBA TATU NIMEWAPENDA ZAIDI NAHISI WANATOAGA GUARANTEE ZIKIARIBIKA..MNAOOOKAA TANKIBOVU ESTIM WALE WAUSIKU WANAOREKEBISHA VIPANDE VILIVYOARIBIKA NDIOHAO
 
HAKUNANPATEL MASKINI KILA NCHI UENDAKO WANA UTAJIRI KUANZIA UKOO VINAVYOKUJA N NYONGEZA WWLIZONAZO
 
HAPO NAMBA TATU NIMEWAPENDA ZAIDI NAHISI WANATOAGA GUARANTEE ZIKIARIBIKA..MNAOOOKAA TANKIBOVU ESTIM WALE WAUSIKU WANAOREKEBISHA VIPANDE VILIVYOARIBIKA NDIOHAO
Hivyo vipande vyenyewe mbona kama wameweka pechi za matuta ukipita utasikia tairi kwaaa kwaaa viraka kama vya tanroads, bure kabisa wawape SOGEA kampuni iliyojenga kipande cha uyole-kyela wale komesha barabara tangu earlier 90 bado iko smoooth kama ya jana
 
labda kuna kitu hatujakielewa..
mwendo kasi inapanuliwa kutoka kibo hadi kimara? kivipi?
na njia sita hadi kibaha hii ni bara bara za kawaida wataziweza
Somatenaampwaa
Tokaa kmr mpaka kibaha
Anyway niliwahi kumwambia mtuhapa mjadala mmoja was bomobomoa hatawavunjekote lazima wajenge kwanza kmr kibamba..hiindio najua na pesa ilitolewa wah wakaishia kmr ..nahisi mojayamasharti n lazima wamalizie ile barabara kwanza...na estim wataifanya kwa miaka miwili so hats hip mwaka.mmoja sahau
 
Hivyo vipande vyenyewe mbona kama wameweka pechi za matuta ukipita utasikia tairi kwaaa kwaaa viraka kama vya tanroads, bure kabisa wawape SOGEA kampuni iliyojenga kipande cha uyole-kyela wale komesha barabara tangu earlier 90 bado iko smoooth kama ya jana
Achatu mpwaaa twende wanavyotaka shukuru nahivyo viraka..
 
Hivyo vipande vyenyewe mbona kama wameweka pechi za matuta ukipita utasikia tairi kwaaa kwaaa viraka kama vya tanroads, bure kabisa wawape SOGEA kampuni iliyojenga kipande cha uyole-kyela wale komesha barabara tangu earlier 90 bado iko smoooth kama ya jana
Sogea kampuni ya nchi gani
 
Estim yupo vizuri sana, ila sijaiona kazi yake hata moja
 
Cha muhimu barabara ijengwe hii michakato ya tenda sometimes ni ubabaishaji tu
Mkuu kichwani kuko sawa kweli? unajua maana ya tender,taratibu zake, kutangazwa na sababu zake? kama sio tatizo la shule basi wewe sio mzima.
 
unaongea bila kuwajua unaowaongelea.. nitajie barabara gani kwa sasa hapa tanzania ina ubora kama ile ya msata -bagamoyo na hao ESTIM ndio waliojenga hyo barabara sio kila kitu unacriticise sometime fanya research ya kujua CV ya huyo unayemcriticise au kisa shubash patel ni mhindi ndo imekuwa nongwa
Mkuu wana chuki na wivu tu,
 
Back
Top Bottom