Serikali ya Eswatini imethibitisha kuwa inawashikilia wahamiaji watano waliotolewa Marekani na kuwekwa katika vyumba maalum vya gereza, kufuatia makubaliano ya muda mrefu na utawala wa aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump. Wahamiaji hao ni raia wa Vietnam, Jamaica, Laos, Cuba na Yemen, ambao wote ni wafungwa waliopatikana na hatia, lakini mataifa yao ya asili kukataa kuwapokea. Taarifa kutoka Idara ya Usalama wa Ndani ya Marekani ilieleza kuwa Eswatini ilikubali kwa muda kuwapokea wahamiaji hao baada ya Mahakama ya Juu ya Marekani kuruhusu urejeshaji wa wahamiaji katika mataifa ambayo si ya kwao
Katika taarifa rasmi, msemaji wa serikali ya muda ya Eswatini, Thabile Mdluli, amesema hatua hiyo imezua hisia mseto miongoni mwa raia, lakini ikasisitiza kuwa serikali yao inashirikiana na Marekani na Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) kuratibu safari ya kuwarudisha wahalifu hao katika nchi zao. Hadi sasa, wahamiaji hao wanahifadhiwa kwenye maeneo ya kipekee ndani ya gereza kwa usalama na taratibu maalum Eswatini, taifa dogo lisilo na pwani Kusini mwa Afrika lenye takriban watu milioni 1.2, linaongozwa na utawala wa kifalme tangu mwaka 1986
====
Eswatini's government said on Wednesday that it was holding five third-country nationals deported from the United States in isolated prison units under a deal with President Donald Trump's administration, but sought to eventually send them home.
The U.S. Homeland Security Department said on Tuesday that a deportation flight carrying immigrants from five countries had landed in Eswatini, after the U.S. Supreme Court lifted limits on deporting migrants to countries that are not their own.
The five individuals on the flight were convicted criminals from Vietnam, Jamaica, Laos, Cuba and Yemen, it said. U.S. Department of Homeland Security spokeswoman Tricia McLaughlin said on X their home countries had refused to take them back
"Government acknowledges the widespread concern regarding the deportation of third-country prisoners from the United States of America into the Kingdom of Eswatini," said Eswatini's acting government spokesperson Thabile Mdluli in a statement
"Indeed, five inmates are currently housed in our correctional facilities in isolated units," she said, adding that this was "the result of months of robust high-level engagements" with the United States government.
Eswatini, a landlocked nation in Southern Africa, is home to about 1.2 million people and ruled by an absolute monarch who has been in power since 1986
The statement said that Eswatini and the United States would "collaborate with the International Organization for Migration (IOM) to facilitate the transit of the inmates to their countries of origin"
The IOM could not immediately be reached for comment
Chanzo: CITIZEN DIGITAL