Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Akiongea na vyombo vya habari kuhusu Sakata La Dada wa Aliyekua Balozi Cuba, Katibu mwenezi CCM , Mh Polepole, Leo Afande Muliro anamuita "Et MTU aliyejitambulisha '
Wewe Muliro Wewe utadhan unafanya kazi ya kutukuka wakati Mzee Kibao aliuliwa na Watu wenye Bunduki walomshusha Ndani ya Bus Live live.
Wewe Muliro Wewe, siku hazigandi, siku zinabadilika, Ohooooo
Shauri yako Muliro