Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Kavideo tafadhaliAkiongea na vyombo vya habari kuhusu Sakata La Dada wa Aliyekua Balozi Cuba, Katibu mwenezi CCM , Mh Polepole, Leo Afande Muliro anamuita "Et MTU aliyejitambulisha '
Wewe Muliro Wewe na umetumbua Macho kwelikweli utadhan unafanya kazi ya kutukuka wakati Mzee Kibao aliuliwa na Watu wenye Bunduki walomshusha Ndani ya Bus Live live.
Wewe Muliro Wewe, siku hazigandi, siku zinabadilika, Ohooooo
Shauri yako Muliro
Sababu za kufurumushwa ilikua nn??.Lakini watanzania tuna ukichaa.
itoshe kusema we deserve every political trash we're getting.
Yaan huyuhuyu alokua jikoni kipnd fln leo kafurumushwa anaanza kutafuta huruma na nyie bado mnamsapport?
I'm not interested in politics but this madman polepole had to be ignored for good, it's very wrong to show him support because even the current oppressors will become victim in the future then play 'Polepole' expecting public sympathy.
Hii tabia ya viongozi kujiona miungu watu ni nyie wenyewe ndio mnaikuza. Huyuhuyu polepole na muhuni mwenzake bashiru walimfanya Makamba Sr apige magoti kwao, who are they first compared to makamba Sr au Kinana? Nigga is outta kitchen now he bitches around expecting public sympathy.
If it were me nisingeblock tu hio mitandao, we would hack all his social media for good, deny him entry to TZ, then akiforce kuja unampa uhaini.
I'm not interested in politics, I just want to talk sense into you fv*kers.
Comment ya kwanza pale 😂
😁Chatu kawaita mbwa wajilete mdomoni adake, mbwa nao wakasema "tunaijua iyo"
ana mu estimate balozi kama mtu asiyefahamika kabisa, hii ni elimu ya kipolisi?Akiongea na vyombo vya habari kuhusu Sakata La Dada wa Aliyekua Balozi Cuba, Katibu mwenezi CCM , Mh Polepole, Leo Afande Muliro anamuita "Et MTU aliyejitambulisha '
Wewe Muliro Wewe utadhan unafanya kazi ya kutukuka wakati Mzee Kibao aliuliwa na Watu wenye Bunduki walomshusha Ndani ya Bus Live live.
Wewe Muliro Wewe, siku hazigandi, siku zinabadilika, Ohooooo
Shauri yako Muliro