Eternal Punishment cannot be understandable by any one

Imani ni ile hali ya kuwa na yakini moyoni kwa jambo usilolijua lakini kuna dalili za kuwepo kwa jambo hilo,hivyo basi hata kama ukiishi maisha ya funga funga kutokana na dalili zilizopo za uwepo wa M/mungu inabidi uzifuate ipasavyo,yeye ndo kakuumba na anafahamu kwann wewe na si yule..
 
Anyway, tusibadilishe maana ya post. Tulete majibu ya msingi ili tupanue uelewa.
 
Toa ushahidi. Nani alikufa akafufua?
 
Hilo swali ukiwauliza viongozi wa dini with an open mind ndio utagundua hata wao wanabahatisha.

Sana sana utaambiwa Mungu hachunguziki.

Ila hakuna cha moto wala nini,tena concept ya moto ukiifikiria sana ndio i.amfanya Mungu aonekane mbaya kumbe kuna wajanja wameipandikiza kwa lengi la kuleta hofu kwa watu.
 
Mambo mengine nikitafakari,I wish hata nisingexist..am sorry Mungu ila I js don't understand why
 
Siku za mwisho watu watakataa kwamba mungu hayupo kwa saababu wametenda maovu mengi lakini mungu hajawaadhibu. Lakini ahadi ya mungu iko palepale "yaacheni magugu na ngano vikue kwa pamoja siku ya mavuno, ngano itachambuliwna kuwekwa ghalani lakini magugu yatatengwa na kuchomwa moto"
 
Huyu mwanadamu alivyo na kiburi,hata mtu akienda huko na kurudi kutuhadithia kinachojiri,hawezi kuamini.
 
Ushahidi wa huyo mtu?na lazima angekuwa maarufu tu...

Moto wa kweny vitabu ni huu unaonguza physical body
Quran inaeleza siku ya mwisho watu watafufuliwa wakiwa na miili yao,lakini moto huo haufanyi ufe bali unaungua tu milele na ni mkali kupita huu wa duniani
 
Kwa mfano kwenye dini ya kikristo kuna dhehebu la mashahidi wa yehova wanaamin kuw hakuna moto wa milele ila kuna kifo cha pili yaan watenda dhambi adhabu yao ni kukosa uzima wa milele so hawatakuwepo. Pia wanaamin uzma wa milele watakaopat wengi watabaki Duniani tu na siyo kwenda mbinguni km weng wanavyoamini and ofcoz wataoenda mbinguni ni idadi ndog sana ya watu 144000 tu. kwakwel imani zinachanganya sana hasa pale mtu unapojarb kujua tofaut ya dini na dini au dhehebu na dhehebu inafk wakat znamchangany mtu anashndwa hat kujua ukwel uko wap . By myside I blv there is God but who is the right one Jehovah, Allah or others ambao ckuwah kuwaskia. Ni bonge la confusion
 
Tupo wengi mkuu, mimi naamini yupo, lakini hizi dini siziamin, cuz kila dini inasema vyake, mimi namuabudu mungu sio dini... Nazichukia sana dini cuz zimeleta ubaguzi na wala sio upendo, zimeleta vikwazo vingi... Sioni sababu ya kitabu cha dini kusheheni maelfu kwa maelfu ya kurasa wakati ingetosha kuandika tu kipi tufanye kipi tusifanye , kipi dhambi kipi sio dhambi... Lakini wamepandikiza vitu vingi, historia za mababu waliouna kwa vita... Non sense... Aaaaaah wacha niishie hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…