Eternal Punishment cannot be understandable by any one

Eternal Punishment cannot be understandable by any one

kuna yule aliyeomba afumbuliwe apate kuona kumbe alipewa upofu kwa sabab ya kumuepusha na mambo mengi sasa hapa ndo kunafumbo wala si upofu ukitafakar vizur Hapa ni uelewa pind binadam anapo kuwa na uwezo wa kudadavua kila kitu ndo nwanzo wa kumuas mungu
 
kifupi hakuna moto wa milele. adhabu ya dhambi ni kifo.
 
Jimena tuelimishe...sababu ipi.huwa kwenye thread kama hizi napenda kuwaita kwa kuwa napenda sana michango yenu.tupe ujuzi
 
Kifo kina sababu zake mkuu lakini hii sababu ya dhambi haipo
waroma 5:12 inasema . hiyo ndiyo sababu, kama vile kupitia mtu mmoja dhambi iliingia katika ulimwengu na kifo kupitia dhambi, na hivyo kifo kikaenea kwa watu wote kwa sababu wote walikuwa wamefanya dhambi.
 
waroma 5:12 inasema . hiyo ndiyo sababu, kama vile kupitia mtu mmoja dhambi iliingia katika ulimwengu na kifo kupitia dhambi, na hivyo kifo kikaenea kwa watu wote kwa sababu wote walikuwa wamefanya dhambi.
Kwahiyo una maana wasio na dhambi hawafi???
Maana mpaka Yesu alikufa je alikuwa na dhambi?
 
Musa alikuta kijiti kinawaka moto lakini hakiteketei,ndio moto unao zungumziwa,moto unachomwa na kufa hufi..
Kasome vzr kaka utaelewa,hujasoma ndio maana unabisha usichokijua

Hakuna kitu kama hicho. Huo moto mpaka leo upo?
 
Kuna mtu alikufa akafufuka na kuhadithia ile hisia aliyoipata ya kutengana na muumba wake huko jehanam. Hapakuwa na moto, bali ule utengano ulikuwa unaumiza kuliko kitu chochote unachoweza kukihisi in the physical world, alipopita 'mhusika' wa hiyo Jehanam mtu huyo aliyetengwa na muumba wake alilia kwa nguvu sana na kuita "Mungu wangu..!", "Mungu wangu...!", "Mungu wangu..!", aliita hivyo kwa mara ya idadi ambayo hata yeye hawezi kuhesabu, maana aliamini yule anaepita angeweza kumuondosha mahali pale.., na ghafla alirudi duniani...
Ah ah mwana amka
 
Hakika mungu km yupo basi ndio mdhambi mkubwa

Kjn wawatu kaishi maisha ya dhiki,magumu yakaraha..ajui hayo mambo ya dini bado anamtupa kwenye moto mkali wa milele

Kweli iman kitu mbaya
 
Hakika mungu km yupo basi ndio mdhambi mkubwa

Kjn wawatu kaishi maisha ya dhiki,magumu yakaraha..ajui hayo mambo ya dini bado anamtupa kwenye moto mkali wa milele

Kweli iman kitu mbaya
Kama ambavyo unajituma kutafuta pesa na maisha, juhudi kama hiyo ungeifanya kumtafuta Mungu utampata, utamtambua tu.
 
Binafsi naona swali kubwa hapa ni Je kuna maisha baada ya kifo??
 
Hata mimi natamani nijibu hilo swali lako lakini kama sijaelewa hivi,
Ni story khs huyo kijana mpagani au kipi zaidi.??

Ufafanuzi plz.
 
Hilo swali ukiwauliza viongozi wa dini with an open mind ndio utagundua hata wao wanabahatisha.

Sana sana utaambiwa Mungu hachunguziki.

Ila hakuna cha moto wala nini,tena concept ya moto ukiifikiria sana ndio i.amfanya Mungu aonekane mbaya kumbe kuna wajanja wameipandikiza kwa lengi la kuleta hofu kwa watu.
Hakuna ubaya kwa kunuadhibu aliyekosea
 
Back
Top Bottom