Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
"...Wanakuuliza khabari za Roho, waambie hiyo ni ilmu yake Mwenyezi Mungu, na Ilmu mliopewa nyinyi ni kidogo sana..."
QUR'AN.
"Wanakuuliza je tukishakufa na kusagika mifupa tutarudi tena kwenye uzima?
Waambie je hawakuona mfano wa ardhi iliyokufa kwa ukame na hata mimea iliyopandwa ikanyauka yote? Kisha tukateremsha maji kutoka mawingu, ardhi ikarudi kua hai na mimea ikastawi? Hiyo ni alama tosha kwa wenye akili timamu...."
QUR'AN.
".... Hata kama tungefungua mbingu, wakawa wanapanda na kushuka (kwenda mbinguni na duniani, muda wowote) bado wangesema hakuna lolote, hiki ni kiini macho tu...."
QUR'AN.
"Wanakuuliza Kiyama kitakuja lini, waambie hivi punde tu, hiyo ni ahadi ya Mwenyezi Mungu kwa viumbe wake haina shaka ndani yake...."
QUR'AN.
Kwa hivyo ndugu zangu, mmeona kuna watu kabla yenu walikua wanauliza maswali kama haya mnaojiuliza nyinyi na pengine kuzidi wako wapi sasa hivi? Wamerudi kwa muumba wao na huko wameshapata majibu ya maswali yao,
Hivyo na wewe usiyeamini au unayeamini, ishi hivyo hivyo ukijua kua utakufa na utapata majibu ya maswali yako.
Hakuna shaka juu ya hilo.