Tape measure
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,981
- 3,604
Da'Vinci nimekusoma sana kuna mwana falsafa kutoka Germany anaitwa Immanuel Kant aliongelea kuhusu ethics inaitwa Deontology "deo' ni neno la kigiriki liki maanisha duty ama majukumu.
Anasema jambo lolote utakalofanya haijalishi ni baya ama ni nzuri bali litaangaliwa kwa mtazamo wa sheria zilizowekwa ndio maana unaona dunia nzima waroma wanafuata amri 10 za Mungu bila kujali. Sheria iwe mbaya kiasi gani mfano adhabu ya kifo haijalishi ni itaumiza kiasi gani lakini kwa kuwa mlikubaliana inapaswa kuheshiwa.
Hivyo kwenye mikopo umiza huhitajiki kujitetea kiasi gani kama ulikubali mwanzo sharti deni ulipe.
Kuna mwanafalsafa mwingine kutoka England anaitwa Jeremy Bertham ameishi miaka ya 1400.. Aliandika theory ya Utilitarianism " Hii ni tofauti na deontology' anasisitiza jambo lolote litakalofanywa ikiwa litaleta furaha na faida kwa watu wengi zaidi basi jambo hilo linapaswa kuendelezwa[emoji93]
Hapa ndio utasikia misemo kama majibu ya wengi ni majibu ya Mungu [emoji23][emoji23]. Wengi wape au nguvu ya umma. Hizi falsafa ndio zinaongoza dunia.
Kuna ethics kibao sasa hivi kuna ishu ya AI au akili bandia na ugunduzi unaotokana na science technology innovation and engineering. Hawa philosophers jamii ya tuliowasema ndio wanahakikisha dunia inakuwa sehemu salama kwa kila mtu au kwa watu wengi[emoji23][emoji23][emoji23].
Dunia inakoelekea mwanamke hatohitajika kubeba mimba tena kuepusha kujiweka katika hatari ya kufariki akiwa anajifungua hivyo mimba zitalelewa maabara wanandoa watakwenda kuchukua mtoto baada ya miezi 9. Pia tunaweza kupunguza muda wa kukuza mtoto kutoka miezi 9 mpaka 3 [emoji23][emoji23][emoji1].
Scientists hatujawahi kushindwa kitu huwa tunachelewa tu but kufanikisha ni lazima[emoji23][emoji23].
Hawa philosophers ndio wanatuchelewashaga. But ni muhimu sana ndio maana dunia inatawalika mpaka sasa
Vijana kunyweni bia dini waachieni wazeee narudia kunyweni pombe. Bia ni uchumi jengeni nchi yenu beer[emoji485]