Heavy Metal
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 881
- 2,077
Sasa wakija kuchunguza si watajua tu kila muhusika wa account flan ametoa kiasi gani so lazima tu watadakwa na kutupwa jela. Labda issue tu ni hizo hela kama wataweza kuzirudisha zote ila kuwakamata hao wadau walochota pesa mi naona ni kazi rahisi tu