Makundi saba ya waasi nchini Ethiopia, yakiwemo makundi ambayo kwa muda mrefu yamekuwa yakipigana upande tofauti wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vya mwaka 2020 hadi 2022, yametangaza kuunda muungano wenye lengo la kuipindua serikali ya Waziri Mkuu Abiy Ahmed.
Muungano huo unaoitwa Ethiopian Peoples’ Forces Alliance for Survival, unayakutanisha makundi yenye asili tofauti za kikabila kutoka maeneo mbalimbali nchini humo, kuanzia Tigray kaskazini hadi Mkoa wa Somali kusini. Hata hivyo, baadhi ya makundi hayo bado yana migogoro kuhusu maeneo na masuala mengine.
Makundi mengi yameishutumu serikali kwa kujilimbikizia madaraka na kuyatenga maeneo mbalimbali nchini. Serikali kwa upande wake imesema imeanzisha mazungumzo ya kitaifa yenye lengo la kushughulikia mgawanyiko wa kisiasa na migogoro ya ndani ambayo imekuwepo kwa muda mrefu.
Muungano huo uliotangazwa Septemba 20, 2026 usiku unajumuisha Tigray People’s Liberation Front (TPLF) na Amhara Fano National Movement.
Fano, ambao ni muungano wa makundi yenye silaha kutoka eneo la Amhara, walipigana upande wa serikali ya shirikisho dhidi ya TPLF wakati wa vita vya Tigray vya mwaka 2020–2022. Vita hivyo vilisababisha vifo vya mamia ya maelfu ya watu na vilihusishwa na ukatili uliolenga makabila mbalimbali. Baadaye, Fano waliibuka dhidi ya serikali ya shirikisho, na mapigano hayo yameendelea katika eneo la Amhara tangu mwaka 2023, huku yakisababisha vifo vya maelfu ya watu.
================
Seven Ethiopian armed groups, including longstanding enemies who fought on opposite sides of a 2020-2022 civil war, said they have formed an alliance aimed at overthrowing Prime Minister Abiy Ahmed’s government.
The announcement of the Ethiopian Peoples’ Forces Alliance for Survival brought together am ethnically diverse body of groups based across the country, from Tigray in the north to Somali Region in the south. Some remain at loggerheads with other members over territory and other issues.
Abiy’s spokesperson, Billene Seyoum, said members of the alliance had been collaborating for a while with the financial backing of Ethiopia’s neighbour and historic adversary Eritrea.
“The recent announcement is only attesting (to) what the Ethiopian government has been alleging time and again,” she wrote in a text message on Monday.
Eritrea’s information minister did not immediately respond to a request for comment. Asmara has repeatedly denied similar accusations.
ALLIANCE INCLUDES FORMER FOES
The new alliance, announced late on Sunday, includes the Tigray People’s Liberation Front (TPLF) and the Amhara Fano National Movement.
Fano, a coalition of armed groups from the Amhara region, fought in support of the federal government against the TPLF during the 2020-2022 Tigray war, which resulted in hundreds of thousands of deaths and was marked by ethnically driven atrocities.
Fano subsequently rose up against the federal government in a conflict that has killed thousands in Amhara since 2023.
Many of the groups have accused the government of centralising power and marginalising the regions. The government says it has launched a national dialogue meant to address longstanding political divisions and internal conflicts.
Source: Reuters