Ethiopia: Makundi 7 ya Waasi yaungana kupindua Serikali ya Abiy Ahmed

Kwenye history tumefundishwa Ethiopia haikutawaliwa kwa sababu waliwadhibiti Italians
 
Kwenye history tumefundishwa Ethiopia haikutawaliwa kwa sababu waliwadhibiti Italians

hahaha Mussolini alivamia Ethiopia wakati wa vita kuu ya 2 ya dunia ilikuwa ni vita na siyo ukoloni wa kawaida, na ndiyo kipindi pekee ambacho ethiopia ilikaliwa na wageni kwa muda mfupi lkn vinginevyo ethiopia ndiyo nchi pekee duniani ambayo wazungu in last 200 years hawakuingia, na sababu ni hiyo kwamba Ethiopia was already Christian, ukiangalia ukoloni wote wa wazungu hawakujaribu kuingia na kutawala nchi ambzo zilikuwa htayari ni Christian ...
 
Serikalulu za kiafrika ndo tatizo, leo hii ukisikia watu wamelianziasha Uganda utashangaa?Tz penyewe watu wanalalamika serikali inaweka pamba maskioni, DRC, nenda Zambia n.k Serikali za kiafrika shida sana?
Hata marekani wanalalamikia serikali

Waunde makundi ya uasi?

Haya makundi ya destabilization yanamnufaisha mkoloni zaidi

Ethiopia has the fastest growing economy in Africa sasa ameamua kutoegemea wazungu tayari sponsor anakuja kuwavuruga
 
Assume unachosema ni sahihi, basi maana yake ni kwamba Africa tunapaswa kukataa Christianity maana ililetwa kupitia mateso ya ancestors wetu na wizi wa rasilimali
 
Hiyo Ndio Africa…. Nchi ikishaanza kuwa na positive outlook ya uchumi na nguvu lazima akina mangungo wa msovero wajitokeze kuimaliza

Hata kwetu wapo
Kwetu haikuwepo,hakukuwa na ukabila,hakukuwa na ubaguzi ila kwa sasa watu wachache wenye tamaa wanaiharibu nchi
 
Hata marekani wanalalamikia serikali

Waunde makundi ya uasi?

Haya makundi ya destabilization yanamnufaisha mkoloni zaidi

Ethiopia has the fastest growing economy in Africa sasa ameamua kutoegemea wazungu tayari sponsor anakuja kuwavuruga
Hiyo economy ya kwenye papers hainufaishi mwananchi.
Hivi unajua wananchi wa Ethiopia wana njaa kiasi gani?
 
Assume unachosema ni sahihi, basi maana yake ni kwamba Africa tunapaswa kukataa Christianity maana ililetwa kupitia mateso ya ancestors wetu na wizi wa rasilimali

those are communist lies, siyo kweli na hakuna ushahidi wowote kwamba Christianity ilileta mateso kwetu kulinganisha ilivyokuwa kabla ya Christianity.

communism ilianzishwa ili ku-counter Christianity, na ili communism ikubalike na wengi ni lzm iwe na victims ambao ni waafrika, communism inahitaji mnyonge, inahitaji masikini inahitaji anayeteswa na kuonewa na ndiyo maana waafrika na black people dunia nzima wanafit hilo group la "wanaonewa" hili halijatokea tu kwa bahati mbaya bali communism wamewalea na kuwafundisha waafrika hivyo kusudi waafrika wachukie na kuhoji Christianity.

lkn ukweli unabakia kuwa ukweli na unaonekana maisha ya waafrika yameboreka na kuwa bora zaidi baada ya ujio wa Christianity klk ilivyokuwepo mwanzoni mfano mdogo miaka ya 1960 wakati tunapata uhuru population ya eneo hili la tanganyika yetu ilikuwa ni milioni 8 tu leo hii ni > milioni 50, population ya black people afrika inakaribia 1 billion, haijawahai kutokea afrika kuwa na watu wengi kiasi hiki unafikiri ni kwa nini? ni kwa sababu ya upatikanaji wa chakula bora, elimu, huduma ya afya zamani mwanamke kujifungua ilikuwa ni matter of life or death na wengi walikuwa wanafariki, watoto wengi walikuwa wanakufa kabla ya kutimiza umri wa miaka 5 na ndiyo maana hata wazee wetu walikuwa na watoto wengi kwa sababu watoto wengi walikuwa wanakufa utotoni na wachache walikuwa wanafikia utu uzima na ndiyo maana population ya afrika siku zote ilikuwa chini.

au kwa nini labda unafikiri population ya wamasai ingawaje walikuwa na eneo kuubwa sana lkn ilikuwa ni ndogo? hata wahadzabe na wasandawe ambao hawajaguswa na Christianity ni wachache, ni kwa nini? sioy kama hawazaliani la hasha, bali wengi wanafariki wanwake kwenye kujifungua, watoto wanafariki utotoni wengi na wanaokuwa kufikia utu uzima ni wachache ...
 
Tunaweza kujenga nchi kuimprove huduma za afya, elimu, upatikanaj9 wa chakula bila Christianity wala Islam
Acha kujifanya kwamba tunadepend sana kwa Christianity kuendelea
 
Tunaweza kujenga nchi kuimprove huduma za afya, elimu, upatikanaj9 wa chakula bila Christianity wala Islam
Acha kujifanya kwamba tunadepend sana kwa Christianity kuendelea

yeah ofcourse sasa hivi "tunaweza" kwa sababu misingi imeshawekwa tayari na tunachopaswa kufanya ni kunyanyua tu nyumba nyenzo zote tunazo/tumeshazipata tayari, tuko connected na dunia nzima na siyo isolated kama zamani lkn haikuwa hivyo siku zote na hapa tunaongelea kabla ya Christianity ...
 
Acheni unafiki. Nyie kwa sababu mnateka watu wanakaa kimya ndio mnaona Ethiopia wanazingua. Watu wakichoka they don't care. Mlipewa signal M029 ila Bado hamjaelewa.
Historia ya Ethiopia ni tofauti mno na Tanzania
 
Wote wapiganaji sasa mtiti ni pale watakaposhika madaraka, Nani atakuwa Rais wao
 
Nishawahi kusema humu kuwa amani ni sawa na bikra ikiondoka hairudi so hapa bongo tukae mkao wa kura
 
Katika watu wapumbavu na wasio na akili za kujielewa ni jamii ya Cushites(Somali and Ethiopian).
Hawa huharibu mataifa yao wenyewe kwa UKABILA na UCHU WA MADARAKA. Hata kisa cha Somalia kuanza kuwa na vita ni hivi hivi ukabila kwenye utawala wa nchi ama taifa.
Abiy Ahmed amejitahidi sana kuipeleka Ethiopia inakostahili. Ila huu ukabila utakuja kuwakandamiza.
 
Sio ukabila, wanajielewa,au unataka waendelee kupigwa madole kama CCM inavyotufanya
Bob UKABILA unawamaliza hao. Wakushi na wasomali ni watu mafala kuwahi kutokea.
Hapo wanapigana kabila la Tigray ndio liongoze nchi.
Hawana lolote. Hawapiganii reforms bali wanapigania utawala wa kikabila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…