Ethiopia na Djibouti zaomba kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

Ethiopia na Djibouti zaomba kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

EAC inaenda kuwa Jumuiya kubwa na yenye Nguvu zaidi hapa Afrika.

Tukifita pass za kusafiria,tukaruhusu free movements of people and goods nadhani tutaendelea zaidi kuliko kuweka mamipaka yasiyo na msingi.

Somalia tayari inasubikiwa kutangazwa tuu.Bila Shaka Sudan nayo itaunga trailer sio mda.

============

ARUSHA: THE East African Community (EAC) is set to become a market size of 800 million people, with the introduction of more countries to the regional economic community on the cards.

With Somalia waiting in line to join the regional intergovernmental organisation of seven partner states, two countries from the Horn of Africa are also set to become part of the EAC.

EAC Secretary General Dr Peter Mathuki hinted here on Tuesday evening, that both, Djibouti and Ethiopia would also join the Regional Economic Community.

“The vision of our leaders is to have a market of 800 million people. And that will be possible if we integrate all the countries in the horn of Africa and make one huge market,” projected Dr Mathuki, shortly before launching the EU-EAC Market Access Upgrade Programme (MARKUP II).

Dr Mathuki’s revelations come in the wake of negotiations between the EAC and the Federal Republic of Somalia for the entry of Somalia into the bloc.

Held in August, the nine-day negotiations brought together experts from the seven EAC partner states, the EAC Secretariat, East African Legislative Assembly (EALA) and East African Court of Justice (EACJ) and their counterparts from the Federal Republic of Somalia.

Daily News
Unajua kusini wanawazo ka kuwa na SA,Angola, Mozambique, Botswana, Zimbabwe na Makawi. WaKifikia huu muungano hututakuwa na nguvu.
 
Sadc ni kitu gani? Muungano upi? Nchi za Kusini zote ni maskini hazina watu wa kutosha
Sisi ni matajiri kuliko botswana? Angola SA ?
Msumbiji. Wanamadini mengi, wana gesi nyingi kuliko Afrika mashariki.
Ukiondoa Tanzanua na Kongo EA kuna rasilimali gani za maana ? Tulichonacho cha maana ni bahari tu na maziwa makuu .
Hatuna rasilimali kuwazidi kusini mwa Afrika, Etheopia, djibout, Eritrean, Somalia ni vinchi visivyo na rasilimali na wanamaisha magumu kujumlisha vita.
Kiukanda labda tunawazidi rasilimali Afrika kaskazini (warabu) tu tena ukiondoa mafuta na gesi. South Afrika, west Afrika, central Afrika wana rasilimali nyingi kuanzia madini, mafuta, ardhi, mvua za kutosha, watu.
Kana vipi tuingie deep nchi kwa nchi.
 
EAC inakwenda kupoteza spirit yake kwa kukimbilia kuingiza wanachama wengi pasipo kutazama hali hali ya wanachama wapya.

Nchi kama Somalia haitawaliki kila siku ni vita unapomwingiza katika Jumuiya maana yake umekaribisha tatizo kubwa. Ethiopia nako ni shida tu, kila siku wimbi la wakimbizi na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Vip Congo mkuu
 
Kila kitu kinabadilika kutokana na majira na nyakati
Landmass huwa haibadiriki labda siasa tu.
Hio inaitwaga Horn of Afrika a part of east Africa.
Hadi DNA zinafanana kuanzia Rwanda mpaka Etheopia. Kuanzia watusi, wamasai, wakulya, wajaluo, mpaka Ethiopia ni damu moja, sisi wabantu ndio tuliingia haya maeneo na kuvuruga DNA zao ila hili ni eneo moja tangu KEMET. Yaanu lina histotia ndefu sana tangu tawala za kale.
 
EAC itakua tishio. Ni suala la muda tu hata Zambia na Malawi zitaomba kujiunga.
 
Siku Zambia na South Africa wakijiunga ndiyo nitaamini, nchi za ajabu ajabu ndiyo zinaomba kujiunga.
Zambia itajiunga. Mimi sio mtabiri ila kwa mazingira yaliyopo hakuna namna wataomba tu. Cha muhimu Tanzania inatakiwa izidi kuwa imara kisiasa na kidiplomasia kwasababu nchi yetu ndo kama mzizi mkuu wa hii jumuiya. Bila Tanzania imara chini ya CCM hata EAC itayumba
 
Kwanza hii iliyopo hatujaona faida yoyote na bado wanataka kuongeza wengine. Kwa mipango yao leo hii tulitakiwa tuwe na sarafu ya pamoja na mipango mingi ambayo hata kuanza tu kutekelezwa haijaanza. EAC ni kijiwe cha kupigia stori tu.
Kenya wakifunga mpaka mnalialia halafu huoni faida yake.
Halafu mnaisingizia ccm kuwa ndio inawatia ujinga, kweli ?
 
Back
Top Bottom