Sisi ni matajiri kuliko botswana? Angola SA ?
Msumbiji. Wanamadini mengi, wana gesi nyingi kuliko Afrika mashariki.
Ukiondoa Tanzanua na Kongo EA kuna rasilimali gani za maana ? Tulichonacho cha maana ni bahari tu na maziwa makuu .
Hatuna rasilimali kuwazidi kusini mwa Afrika, Etheopia, djibout, Eritrean, Somalia ni vinchi visivyo na rasilimali na wanamaisha magumu kujumlisha vita.
Kiukanda labda tunawazidi rasilimali Afrika kaskazini (warabu) tu tena ukiondoa mafuta na gesi. South Afrika, west Afrika, central Afrika wana rasilimali nyingi kuanzia madini, mafuta, ardhi, mvua za kutosha, watu.
Kana vipi tuingie deep nchi kwa nchi.