Ethiopia na Djibouti zaomba kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

Unajua kusini wanawazo ka kuwa na SA,Angola, Mozambique, Botswana, Zimbabwe na Makawi. WaKifikia huu muungano hututakuwa na nguvu.
 
Sadc ni kitu gani? Muungano upi? Nchi za Kusini zote ni maskini hazina watu wa kutosha
Sisi ni matajiri kuliko botswana? Angola SA ?
Msumbiji. Wanamadini mengi, wana gesi nyingi kuliko Afrika mashariki.
Ukiondoa Tanzanua na Kongo EA kuna rasilimali gani za maana ? Tulichonacho cha maana ni bahari tu na maziwa makuu .
Hatuna rasilimali kuwazidi kusini mwa Afrika, Etheopia, djibout, Eritrean, Somalia ni vinchi visivyo na rasilimali na wanamaisha magumu kujumlisha vita.
Kiukanda labda tunawazidi rasilimali Afrika kaskazini (warabu) tu tena ukiondoa mafuta na gesi. South Afrika, west Afrika, central Afrika wana rasilimali nyingi kuanzia madini, mafuta, ardhi, mvua za kutosha, watu.
Kana vipi tuingie deep nchi kwa nchi.
 
Vip Congo mkuu
 
Kila kitu kinabadilika kutokana na majira na nyakati
Landmass huwa haibadiriki labda siasa tu.
Hio inaitwaga Horn of Afrika a part of east Africa.
Hadi DNA zinafanana kuanzia Rwanda mpaka Etheopia. Kuanzia watusi, wamasai, wakulya, wajaluo, mpaka Ethiopia ni damu moja, sisi wabantu ndio tuliingia haya maeneo na kuvuruga DNA zao ila hili ni eneo moja tangu KEMET. Yaanu lina histotia ndefu sana tangu tawala za kale.
 
EAC itakua tishio. Ni suala la muda tu hata Zambia na Malawi zitaomba kujiunga.
 
Siku Zambia na South Africa wakijiunga ndiyo nitaamini, nchi za ajabu ajabu ndiyo zinaomba kujiunga.
Zambia itajiunga. Mimi sio mtabiri ila kwa mazingira yaliyopo hakuna namna wataomba tu. Cha muhimu Tanzania inatakiwa izidi kuwa imara kisiasa na kidiplomasia kwasababu nchi yetu ndo kama mzizi mkuu wa hii jumuiya. Bila Tanzania imara chini ya CCM hata EAC itayumba
 
Kwanza hii iliyopo hatujaona faida yoyote na bado wanataka kuongeza wengine. Kwa mipango yao leo hii tulitakiwa tuwe na sarafu ya pamoja na mipango mingi ambayo hata kuanza tu kutekelezwa haijaanza. EAC ni kijiwe cha kupigia stori tu.
Kenya wakifunga mpaka mnalialia halafu huoni faida yake.
Halafu mnaisingizia ccm kuwa ndio inawatia ujinga, kweli ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…