Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Vijana wa sasa wanatamani Afrika iwe moja wewe hutaki?Duh, sasa kama ethiopia wanaomba, somalia, wanaomba imebaki eritrea na djibout nao watataka kujiunga umoja huo. Huo umoja unaweza kupoteza maana na kupelekea kuundwa umoja mwingine utakaojumuisha nchi nyingi kuanzia zile tatu za mwanzo, za pembe ya afrika mpaka afrika ya kati yote. Sasa ndio nini hiyo? Hao wanachama wanataka amani, wanatamani amani ya giant Tanzania. Wakaribishwe tu ila wasitamani kushea ardhi yetu.
Usijitoe ufahamu.Top 10 ya Nchi Zenye uchumi mkubwa Afrika(GDP) ,EAC Ina Nchi 3 ambazo ni Tanzania,Kenya na Ethiopia.Huko Kusini mwa Afrika ni Nchi 2 tuu za South Africa na Angola.Sisi ni matajiri kuliko botswana? Angola SA ?
Msumbiji. Wanamadini mengi, wana gesi nyingi kuliko Afrika mashariki.
Ukiondoa Tanzanua na Kongo EA kuna rasilimali gani za maana ? Tulichonacho cha maana ni bahari tu na maziwa makuu .
Hatuna rasilimali kuwazidi kusini mwa Afrika, Etheopia, djibout, Eritrean, Somalia ni vinchi visivyo na rasilimali na wanamaisha magumu kujumlisha vita.
Kiukanda labda tunawazidi rasilimali Afrika kaskazini (warabu) tu tena ukiondoa mafuta na gesi. South Afrika, west Afrika, central Afrika wana rasilimali nyingi kuanzia madini, mafuta, ardhi, mvua za kutosha, watu.
Kana vipi tuingie deep nchi kwa nchi.
Tanzania ina uimara gani?Zambia itajiunga. Mimi sio mtabiri ila kwa mazingira yaliyopo hakuna namna wataomba tu. Cha muhimu Tanzania inatakiwa izidi kuwa imara kisiasa na kidiplomasia kwasababu nchi yetu ndo kama mzizi mkuu wa hii jumuiya. Bila Tanzania imara chini ya CCM hata EAC itayumba
Bado dada anguHii hiii hiiii. Kuna mmoja kasema katoka mirembe we bado upo mirembe au hujakamatwa na kufungwa kamba ?
Rwanda na Kenya tayari.Watakaokwamisha free visa ni Tanzania Kwa woga waoga usio na msingi.Wengine tunasuburi free visa passage na single currency. Kwenye political federation najua viongozi wa kiafrika hamna atataka kutawaliwa na mwanasiasa mwingine kwa hiyo hilo litakuwa gumu kitekelezeka kuliko maelezo.
Naunga mkono hoja. Tatizo letu sisi tunatumia mda mrefu sana kuamua kwa uwoga uwoga. Ila kwa dunia ya sasa inavyokwenda hilo suala litakuwa haliepukiki.Rwanda na Kenya tayari.Watakaokwamisha free visa ni Tanzania Kwa woga waoga usio na msingi.
Viza free inakuza sana biashara na Utalii.
Rwanda na Kenya tayari.Watakaokwamisha free visa ni Tanzania Kwa woga waoga usio na msingi.
Viza free inakuza sana biashara na Utalii.
Exactly, minaomba Mungu SADC wabaki kama walivo, wasubiri kusoma mchezo maana soon patapasuka vibaya mno. Hao horn of Africa kama wameshindwa tu kutulizana wenyewe na kuwa wamoja, ninani ataewaeza? Nikukaribisha vurugu tu nyumbani. Mambo ya passport Moja naimani usalama wa nchi yetu upo makini na hauta kubali kamwe. Tubaki tulivo wapirishe free trade pote bila kuingiliana internal.Sisi ni matajiri kuliko botswana? Angola SA ?
Msumbiji. Wanamadini mengi, wana gesi nyingi kuliko Afrika mashariki.
Ukiondoa Tanzanua na Kongo EA kuna rasilimali gani za maana ? Tulichonacho cha maana ni bahari tu na maziwa makuu .
Hatuna rasilimali kuwazidi kusini mwa Afrika, Etheopia, djibout, Eritrean, Somalia ni vinchi visivyo na rasilimali na wanamaisha magumu kujumlisha vita.
Kiukanda labda tunawazidi rasilimali Afrika kaskazini (warabu) tu tena ukiondoa mafuta na gesi. South Afrika, west Afrika, central Afrika wana rasilimali nyingi kuanzia madini, mafuta, ardhi, mvua za kutosha, watu.
Kana vipi tuingie deep nchi kwa nchi.
Ndio, mimpaka nahisi Kuna wanasiasa hapa EAC wanawapromote ili waweze kupata vikundi vya kigaidi kupambana na wataowapinga. Haihitaji critical thinking kuona hatari iliopo. Si Somali pekee hao Kushi wote wanamatatizo sana.Kuongeza matatizo pia. Nchi kama Somalia usalama mdogo, anapokua mwanachama lazima tutahusika na matatizo yake kwa namna moja au nyingine na hapo ndo tunaweza jikuta tunaingia kwenye misala ambayo hatukutegemea
Hawa wapuuzi watakuja kutuletea machafuko tu. Wasomali ni kama moto wa mabua, unawaka chini chini ukija kutahamaki ushateketeza.
Toa ujinga wako hapa,wakuletee machafuko kivipi labda?Hawa wapuuzi watakuja kutuletea machafuko tu. Wasomali ni kama moto wa mabua, unawaka chini chini ukija kutahamaki ushateketeza.