Ethiopia sasa ni nchi ya pili Afrika kwa ku-export maua. Kenya bado ni ya kwanza

Ethiopia sasa ni nchi ya pili Afrika kwa ku-export maua. Kenya bado ni ya kwanza

Ethiopia inajitahidi sana kufanya madaliko, miaka ya 80s walikufa sana kwa njaa ikabidi dunia yote ije pamoja kuwapa msaada wa chakula, Kenya ni miongoni mwa nchi zilizowasaidia, sasa hivi Kenya ndio nchi pekee duniani ambapo watu wanakufa kwa njaa na Ethiopia ndiyo inauzia Kenya Chakula [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Tanzania iliwapa msaada wa pesa kipindi kile nafikiri ilikuwa nchi pekee kutoka afrika kufanya kwa Afrika misaada mingi ilitoka nje ya afrika.
Rais wetu wa awamu ya kwanza aliwapenda sana waafrika wenzake
 
Maua mengi Kenya waliyokuwa wanaexport yalikuwa yanatoka Tanzania maeneo ya Arusha ila kwa sasa Tanzania wameanza kuuza kupitia viwanja vyao vya ndege kenya itakuwa nchi ya tatu
 
Waache waendelee ku export maua hao mashost,mashamba ya mabeberu
 
Hakuna mtu anapinga kwamba Kenya inazalisha maua na Chai nyingi zaidi Africa, tunachosema ni vipi Kenya inazalisha Chai na maua kwa wingi lakini inapofika katika uzalishaji wa chakula mnasingizia ukame?, kwani chai na maua vinalimwa maeneo yenye jangwa?.

Hii ni wazi kwamba ardhi nzuri yenye rutuba ipo ila inamilikiwa na wazungu na mabwenyenye wachache ambao ndio wazalishaji wakubwa wa chai na maua, muache kusingizia ukame[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Nakaza hapa
 
Mngeliwekeza nguvu zenu kwenye uzalishaji wa chakula mkaondokewa na baa la njaa.
 
Back
Top Bottom