Ethiopia sasa ni nchi ya pili Afrika kwa ku-export maua. Kenya bado ni ya kwanza

Tanzania iliwapa msaada wa pesa kipindi kile nafikiri ilikuwa nchi pekee kutoka afrika kufanya kwa Afrika misaada mingi ilitoka nje ya afrika.
Rais wetu wa awamu ya kwanza aliwapenda sana waafrika wenzake
 
Maua mengi Kenya waliyokuwa wanaexport yalikuwa yanatoka Tanzania maeneo ya Arusha ila kwa sasa Tanzania wameanza kuuza kupitia viwanja vyao vya ndege kenya itakuwa nchi ya tatu
 
Waache waendelee ku export maua hao mashost,mashamba ya mabeberu
 
Nakaza hapa
 
Mngeliwekeza nguvu zenu kwenye uzalishaji wa chakula mkaondokewa na baa la njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…