Ethiopia: Updates on war against TPLF

Huo ndio mwanzo wa kusambaratisha nchi.
 
Wapiganaji watoto wa Tigray. TDF inaundwa ma 25% wapiganaji chini ya miaka 16. TDF iliweza kurecruit wapiganaji Hadi 250,000 ndani ya mwaka mmoja watoto chini ya miaka 16 wakiwa zaidi ya 50,000
 
Watoto wengi ndiyo walitangulizwa mbele kwenye mapigano hatari. Hivyo maiti wengi wa upande wa Tigray ni watoto.
 
Juzi tarehe 16.12.2021. baraza la UNHR lilipiga kura za kukubali ma kutaa kuunda tume ya kiuchunguzi kuchunguza uhalifu wa kivita Ethiopia. Mataifa mengi pro US yapiga kura ya ndiyo, wakati Mataifa yote ya Afrika yakipiga kura ya hapana. Kundi ndiyo pro US lilishinda kwa kura 22

Leo serikali ya Ethiopia imetangaza kutoiruhusu tume hiyo inchini kwao.

Matokea
Ndiyo 21
Hapana 15
Wasiopiga kura 11.

Ndiyo ni wale pro US walipigia chapuo kuunda tume, hapana ni wale waliopinga kuunda tume. Wasiopiga kula ni wale wasionaupande aka wanafiki.
 
Tanzania wapi
 
Juzi tarehe 16.12.2021. baraza la UNHR lilipiga kura za kukubali ma kutaa kuunda tume ya kiuchunguzi kuchunguza uhalifu wa kivita Ethiopia. Mataifa mengi pro US yapiga kura ya ndiyo, wakati Mataifa yote ya Afrika yakipiga kura ya hapana
kwenye bold hapo sio kweli. Kuna mataifa ya Africa yamewatia kisu cha mbavu kwa kuruhusu hii tume. Wameruhusu kwa kutokupiga kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…