Juzi tarehe 16.12.2021. baraza la UNHR lilipiga kura za kukubali ma kutaa kuunda tume ya kiuchunguzi kuchunguza uhalifu wa kivita Ethiopia. Mataifa mengi pro US yapiga kura ya ndiyo, wakati Mataifa yote ya Afrika yakipiga kura ya hapana. Kundi ndiyo pro US lilishinda kwa kura 22
Leo serikali ya Ethiopia imetangaza kutoiruhusu tume hiyo inchini kwao.
Matokea
Ndiyo 21
Hapana 15
Wasiopiga kura 11.
Ndiyo ni wale pro US walipigia chapuo kuunda tume, hapana ni wale waliopinga kuunda tume. Wasiopiga kula ni wale wasionaupande aka wanafiki.
View attachment 2050040