Ethiopia: Updates on war against TPLF

Ethiopia: Updates on war against TPLF

Hiyo ndio nzuri,Jeshi la Jimbo Ni Muhimu ili kulinda Maslahi ya Jimbo endapo mtawala wa Serikali Kuu atakauja na Chuki zake dhidi ya Jimbo furani.

Hata hapa Tanzania,kipindi Cha utawala wa awamu ya 5 Kuna Mikoa ilipendelewa Mpaka kufikia hatua wakati wengine Nyumba zao zinabomolewa na Tingatinga Mikoa pendwa hata Vibanda vya mbwa havikubomolewa. Hayo majimbo yaliyobomolewa Nyumba yangelikuwa na Jeshi lao la kuwatetea ukute Nyumba zao Mpaka leo zingelikuwepo.
Huo ndio mwanzo wa kusambaratisha nchi.
 
Wapiganaji watoto wa Tigray. TDF inaundwa ma 25% wapiganaji chini ya miaka 16. TDF iliweza kurecruit wapiganaji Hadi 250,000 ndani ya mwaka mmoja watoto chini ya miaka 16 wakiwa zaidi ya 50,000
IMG_20211219_110345_209.jpg
IMG_20211219_110345_201.jpg
IMG_20211219_110345_953.jpg
IMG_20211219_110345_941.jpg
 
Watoto wengi ndiyo walitangulizwa mbele kwenye mapigano hatari. Hivyo maiti wengi wa upande wa Tigray ni watoto.
IMG_20211219_110345_968.jpg
IMG_20211219_110345_228.jpg
IMG_20211219_110345_964.jpg
 
Juzi tarehe 16.12.2021. baraza la UNHR lilipiga kura za kukubali ma kutaa kuunda tume ya kiuchunguzi kuchunguza uhalifu wa kivita Ethiopia. Mataifa mengi pro US yapiga kura ya ndiyo, wakati Mataifa yote ya Afrika yakipiga kura ya hapana. Kundi ndiyo pro US lilishinda kwa kura 22

Leo serikali ya Ethiopia imetangaza kutoiruhusu tume hiyo inchini kwao.

Matokea
Ndiyo 21
Hapana 15
Wasiopiga kura 11.

Ndiyo ni wale pro US walipigia chapuo kuunda tume, hapana ni wale waliopinga kuunda tume. Wasiopiga kula ni wale wasionaupande aka wanafiki.
IMG_20211218_133509.jpg
 
Juzi tarehe 16.12.2021. baraza la UNHR lilipiga kura za kukubali ma kutaa kuunda tume ya kiuchunguzi kuchunguza uhalifu wa kivita Ethiopia. Mataifa mengi pro US yapiga kura ya ndiyo, wakati Mataifa yote ya Afrika yakipiga kura ya hapana. Kundi ndiyo pro US lilishinda kwa kura 22

Leo serikali ya Ethiopia imetangaza kutoiruhusu tume hiyo inchini kwao.

Matokea
Ndiyo 21
Hapana 15
Wasiopiga kura 11.

Ndiyo ni wale pro US walipigia chapuo kuunda tume, hapana ni wale waliopinga kuunda tume. Wasiopiga kula ni wale wasionaupande aka wanafiki.View attachment 2050040
Tanzania wapi
 
Juzi tarehe 16.12.2021. baraza la UNHR lilipiga kura za kukubali ma kutaa kuunda tume ya kiuchunguzi kuchunguza uhalifu wa kivita Ethiopia. Mataifa mengi pro US yapiga kura ya ndiyo, wakati Mataifa yote ya Afrika yakipiga kura ya hapana
kwenye bold hapo sio kweli. Kuna mataifa ya Africa yamewatia kisu cha mbavu kwa kuruhusu hii tume. Wameruhusu kwa kutokupiga kura.
 
Back
Top Bottom