Ethiopia: Updates on war against TPLF

Umenikumusha historia wahabeshi na wakushi hizi zilikuwa ni tawala za kifalme na zinahistoria ndefu sana, Wakushi walikuwa maarufu sana katika uhunzi
 
Hongera sana utanisababisha nifuatilie historia ya nchi hizi za pembe ya Afrika
 
Bwawa ndio halitengenezwi tena sio
 
Israel ni mteule kweli sio kwamba anajiona!
 
Eritrea sio Watigray ni Watigrinya na wana mabifu zao za jadi ingawaje mila zao zinafanana. ni kama wapokot na wanandi hapo Kenya. pili hao jamaa ni wabishi hyo vita sio ya kuisha leo. utawashinda leo kesho wanaibuka upya. nchi inazid kuumia tu na maden makubwa wanayodaiwa na mchina. Abiya alifanya makosa kuleta mageuz ya haraka angeenda kwa hatua. watu walioiseti nchi miaka 27 unakuja kubomoa kila kitu kwa wakat mmoja utachemka. ni kama hapa kwetu. hata kama wapinzan wakichukua nchi huwez kuondoa misingi yote ya ccm kwa ghafla.
 
Umekosea
1. Abiy ndiye aliyeanza mapigano ya kijeshi.
2.Kwa miaka 500 ya taifa la Ethiopia, watigray wametawala kwa miaka 27 tu.
3.Zenawi melesi mtigray rais aliyepita alifanikiwa kutokomeza njaa, ikumbukwe kabla ya hapo kila mwaka mamia walikufa kwa njaa
4.Chochote cha maana Ethiopia kina mkono wa tigrayans,
5.Watray wameungana na waoromo kabila la Abbiy, sababu ni chuki za Abby kwa yeyote anayehisi yupo juu take.
Viongozi na watu wenye ushawishi wa kabila la promo wamewekwa korokoni na huyo Abby, Jambo ambalo limepelekea hao waoromo kumgeuka Abby.
6. Abby. Anafanana na kiongozi flan ambaye alitaka atukuzwe na awe na influence katika kila sekta.
6.
 
Walizidi shobo za kujiona special,kanyaga hao kima hadi washike adabu.
 
Hao washenzi lazima wasakwe popote na wamalizwe wote.
 
Huu mfano mfu , CCM ilishajifia kitambo sasa hivi tunatawaliwa kwa nguvu ya Dola.Ni kama tunatawaliwa kijeshi!
na kwa taarifa yako CCM ni chama cha kijeshi. kile chama ni tawi la kijesh kama unavyoiona jkt. hawa akina Kikwete Lowasa Jaka mwambi nk walikuwa wanajesh wa ngaz za juu tu na zaman ulikuwa huwez kuingizwa jesh kama huna Card ya ccm
 
Ethiopia haijajengwa miaka 27. Ilikiwepo tangu enzi. Walikuwepo viongozo wenye nguvu walioijenga tangu enzi za Menelick II, Haile Selasie n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…