Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Tigrinya ni lugha inayotumiwa na hao watigray wa pande zote 2 ....Eritrea na EthiopiaHapana,iko hivi;
1.Watigray walioko Eritrea wanaitwa TIGRINYAS
2.Watigray walioko Ethiopia wanaitwa TIGRIANS.
Kwa ajiri ya kuboresha uondo, tugusie pia nini kilisababisha Haile Mariam Deselng akaresign ghafla na kuachia uwaziri mkuu?Habesh ni jumuisho ya Makabila yenye ufanano na asilia ya Asia ya kusini kama Yemen. Ila tofauti Hawa waliunda Dola ya Kikristo ya kale sana na hawakua Arabized.
Watawala wa Ethiopia na Makabila yao.
1. Menelik II kabila lake ni Amhara
2. Haile Selassie kabila lake ni Amhara
3. Mengetsu Haile Mariam kabila lake Ahmara
4. Melez Zenawi kabila lake ni Tigray
5. Haile Mariam Deselng Kabila dogo la kusini Woylita.
6. Abiy Ahmed ni Muoromo.
Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Tigrinya ni lugha (language) inayoongelewa kaskazini mwa Ethiopia katika jimbo la Tigray na nchini Eritrea. Tafuta popote, hata kwa ku-google, utapata ukweli huo.Hapana,iko hivi;
1.Watigray walioko Eritrea wanaitwa TIGRINYAS
2.Watigray walioko Ethiopia wanaitwa TIGRIANS.
Sawa kabisa Naby Keita, umetoa ufafanuzi mzuri sana!Tigrinya ni lugha inayotumiwa na hao watigray wa pande zote 2 ....Eritrea na Ethiopia View attachment 2028625View attachment 2028626View attachment 2028628
Kwahiyo ndugu unataka tubadilishe wauaji baada ya kuuliwa na weusi wenzetu sasa tuuliwe na wazungu?Kuna uhusiano mkubwa kati ya uafrika na kuuana sisi kwa sisi. Adui mkubwa na mkuu wa mwafrika ni mwafrika mwendake. Ili waafrika tuweze kuendelea na kuishi kwa amani tunahitaji sana kutawaliwa na mzungu.
Ni ukweli mchungu na mwenye fedheha.
Mengistu Haile Mariam ambaye kwasasa yupo uhamishoni Zimbabwe, ni kutoka vijikabila vidogo vidogo jimbo la kusini (southern nationalities).Samahani kuuliza, huyu Mengistu Haile Mariam laiyemuua kikatili H. I. M Haile Selassie ni kabila lipi lati ya hayo tajwa?
Nadhani waethiopia walikosea kuuondoa utawala wa kizazi cha kina Menelik (Solomon Dynasty) pamoja na mapungufu yaliyokuwepo.
By then Ethiopia ilikuwa strong sana ila baada ya Mengistu kuzingua sidhani kama imewahi kuwa stable kama hapo kabla.
Mkuu Mengistu hakuwa Amhara na wa Amhara mpaka leo wanamchukia kupita kiasi. Alitokea southern kama Haile mariam Desalegn. Muamhara asingeweza kumuua kinyama muamhara mwenzake Haile Selassie. Yaani ethiopia ukabila unathaminiwa kuliko unavyodhani na wanalindana sana.Habesh ni jumuisho ya Makabila yenye ufanano na asilia ya Asia ya kusini kama Yemen. Ila tofauti Hawa waliunda Dola ya Kikristo ya kale sana na hawakua Arabized.
Watawala wa Ethiopia na Makabila yao.
1. Menelik II kabila lake ni Amhara
2. Haile Selassie kabila lake ni Amhara
3. Mengetsu Haile Mariam kabila lake Ahmara
4. Melez Zenawi kabila lake ni Tigray
5. Haile Mariam Deselng Kabila dogo la kusini Woylita.
6. Abiy Ahmed ni Muoromo.
Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Very good morningKwa ajiri ya kuboresha uondo, tugusie pia nini kilisababisha Haile Mariam Deselng akaresign ghafla na kuachia uwaziri mkuu?
Ukabila wa Waethiopia ni ngumu sana. Mengitsu Alikua Muamhara. Mama yake alikua Mkono kabila dogo la kusini. Akakulia kusini.Mkuu Mengistu hakuwa Amhara na wa Amhara mpaka leo wanamchukia kupita kiasi. Alitokea southern kama Haile mariam Desalegn. Muamhara asingeweza kumuua kinyama muamhara mwenzake Haile Selassie. Yaani ethiopia ukabila unathaminiwa kuliko unavyodhani na wanalindana sana.
HahahahaKuna ngoma imetulia tu hapo Rwanda kuna siku hao watu lazima watakuja kutoana makamasi ...Huu ujinga wa watu kujiona wao ni wateule sijui ungese huu wanautoa wapi
Zitto ni nani nchi hii mjinga tu huyoNdiyo maana Zito Kabwe anamlalamikia sana Waziri Mkuu wa Ethiopia kuhusu vita, na yeye atakuwa na vinasaba na Watigray
We unayesema zito mjinga unaweza kukuta unakaa kwa shemeji yako king'amuzi kikiisha unamwambia Dada Leo unamtukana zitto ambaye humfikii kwa chochoteZitto ni nani nchi hii mjinga tu huyo
Malezi mabovu hayaYaani Watigray mkimkamata Abiy hakikisheni Tigo yake inawaka Moto.
Ona Kitigrinya - Wikipedia, kamusi elezo huruTigrinya ni lugha (language) inayoongelewa kaskazini mwa Ethiopia katika jimbo la Tigray na nchini Eritrea. Tafuta popote, hata kwa ku-google, utapata ukweli huo.
Kwahiyo watu wa jimbo la Tigray wanaelewana na wa Eritrea kwa lugha iitwayo Tigrinya kama ambavyo mmasai wa Kenya anaelewana na wa Tanzania kwa kimasai. Kusema Watigray ni kutaja watu watokao Tigray, lugha yao Tigrinya.
Hakuna tofauti na kusema Watanzania lugha yao ni Kiswahili au Wa-Mbeya lugha yao ni Kinyakyusa au Kisafwa. Kwahiyo Tigray ni jina la jimbo, si lugha inayoongelea. Lugha ni Tigrinya!
Mengistu alitazamiwa kuwa Amhara maana babake alikuwa Amhara na mamake Mkonso. Walikuwepo Waamhara wengi hasa vijana waliomchukia Haile Selassie maana alikuwa alikwamisha maendeleo ya nchi pia hakujali kweli balaa ya njaa iliyoharibu nchi wakati wa mapinduzi.Mkuu Mengistu hakuwa Amhara na wa Amhara mpaka leo wanamchukia kupita kiasi. Alitokea southern kama Haile mariam Desalegn. Muamhara asingeweza kumuua kinyama muamhara mwenzake Haile Selassie. Yaani ethiopia ukabila unathaminiwa kuliko unavyodhani na wanalindana sana.
Teh teh teh..Ndipo ujinga wa wtu wengi ulipojificha hapa.kwa kudhan nakaa kwa shemeji yangu basi kila atakachosema zitto basi hakipasw kukosolewa bwana mdogo unakwama wapi.We unayesema zito mjinga unaweza kukuta unakaa kwa shemeji yako king'amuzi kikiisha unamwambia Dada Leo unamtukana zitto ambaye humfikii kwa chochote
Njoo nikuzalishe watoto uwape malezi Bora kabisa.Malezi mabovu haya
Abbiy sio mama yake tu bali hata mkewe ni muamhara na kiukweli serikali uake kajaza kabila la ukeni na ujombani akiwapa kisogo waoromo wenzake. Kiujumla anapendwa zaidi na Amharans kuliko oromo na analijua hilo ndiyo maana viongozi influential wakioromo wote wapo ndani kama Jawar Muhamed au wakizingua zaidi anawaua kama yule mwanaharakati na mwanamuziki Hachaaalu Hundessaa.Ukabila wa Waethiopia ni ngumu sana. Mengitsu Alikua Muamhara. Mama yake alikua Mkono kabila dogo la kusini. Akakulia kusini.
Pia Mengitsu hakumpindua Haile Selassie direct. Selassie alipinduliwa na Kamati ya maofisa wadogo wa Jeshi. Miaka mitano baada ya mapinduzi ndipo Mengitsu akawa Rais kwa fitina nyingi za kisiasa.
Leo hii Abiy ni Muoromo kwa baba. Ila mke na mama yake ni Amhara. Huyu anapendwa zaidi na WA Amhara kuliko wa Oromo wa babaye.
Kila kibila lina Interest zao. Kibachoangaliwa ni interest. Unajua Haile Selassie alipendwa na Watigray sana. Maana aliruhusu wakajazana selikali.
Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Malezi mabovu kabisa. Lugha yako inatia kichefuchefu. Nadhani wewe ni zao la ngoma za baikoko.Njoo nikuzalishe watoto uwape malezi Bora kabisa.