Ethiopia: Updates on war against TPLF

Ethiopia: Updates on war against TPLF

Hapana,iko hivi;

1.Watigray walioko Eritrea wanaitwa TIGRINYAS

2.Watigray walioko Ethiopia wanaitwa TIGRIANS.
Tigrinya ni lugha inayotumiwa na hao watigray wa pande zote 2 ....Eritrea na Ethiopia
Screenshot_20211130-213236_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20211130-213214_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20211130-213549_Samsung Internet.jpg
 
Habesh ni jumuisho ya Makabila yenye ufanano na asilia ya Asia ya kusini kama Yemen. Ila tofauti Hawa waliunda Dola ya Kikristo ya kale sana na hawakua Arabized.

Watawala wa Ethiopia na Makabila yao.

1. Menelik II kabila lake ni Amhara
2. Haile Selassie kabila lake ni Amhara
3. Mengetsu Haile Mariam kabila lake Ahmara
4. Melez Zenawi kabila lake ni Tigray
5. Haile Mariam Deselng Kabila dogo la kusini Woylita.

6. Abiy Ahmed ni Muoromo.

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Kwa ajiri ya kuboresha uondo, tugusie pia nini kilisababisha Haile Mariam Deselng akaresign ghafla na kuachia uwaziri mkuu?
 
Hapana,iko hivi;

1.Watigray walioko Eritrea wanaitwa TIGRINYAS

2.Watigray walioko Ethiopia wanaitwa TIGRIANS.
Tigrinya ni lugha (language) inayoongelewa kaskazini mwa Ethiopia katika jimbo la Tigray na nchini Eritrea. Tafuta popote, hata kwa ku-google, utapata ukweli huo.

Kwahiyo watu wa jimbo la Tigray wanaelewana na wa Eritrea kwa lugha iitwayo Tigrinya kama ambavyo mmasai wa Kenya anaelewana na wa Tanzania kwa kimasai. Kusema Watigray ni kutaja watu watokao Tigray, lugha yao Tigrinya.

Hakuna tofauti na kusema Watanzania lugha yao ni Kiswahili au Wa-Mbeya lugha yao ni Kinyakyusa au Kisafwa. Kwahiyo Tigray ni jina la jimbo, si lugha inayoongelea. Lugha ni Tigrinya!
 
Kuna uhusiano mkubwa kati ya uafrika na kuuana sisi kwa sisi. Adui mkubwa na mkuu wa mwafrika ni mwafrika mwendake. Ili waafrika tuweze kuendelea na kuishi kwa amani tunahitaji sana kutawaliwa na mzungu.

Ni ukweli mchungu na mwenye fedheha.
Kwahiyo ndugu unataka tubadilishe wauaji baada ya kuuliwa na weusi wenzetu sasa tuuliwe na wazungu?
 
Samahani kuuliza, huyu Mengistu Haile Mariam laiyemuua kikatili H. I. M Haile Selassie ni kabila lipi lati ya hayo tajwa?

Nadhani waethiopia walikosea kuuondoa utawala wa kizazi cha kina Menelik (Solomon Dynasty) pamoja na mapungufu yaliyokuwepo.

By then Ethiopia ilikuwa strong sana ila baada ya Mengistu kuzingua sidhani kama imewahi kuwa stable kama hapo kabla.
Mengistu Haile Mariam ambaye kwasasa yupo uhamishoni Zimbabwe, ni kutoka vijikabila vidogo vidogo jimbo la kusini (southern nationalities).
 
Habesh ni jumuisho ya Makabila yenye ufanano na asilia ya Asia ya kusini kama Yemen. Ila tofauti Hawa waliunda Dola ya Kikristo ya kale sana na hawakua Arabized.

Watawala wa Ethiopia na Makabila yao.

1. Menelik II kabila lake ni Amhara
2. Haile Selassie kabila lake ni Amhara
3. Mengetsu Haile Mariam kabila lake Ahmara
4. Melez Zenawi kabila lake ni Tigray
5. Haile Mariam Deselng Kabila dogo la kusini Woylita.

6. Abiy Ahmed ni Muoromo.

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Mkuu Mengistu hakuwa Amhara na wa Amhara mpaka leo wanamchukia kupita kiasi. Alitokea southern kama Haile mariam Desalegn. Muamhara asingeweza kumuua kinyama muamhara mwenzake Haile Selassie. Yaani ethiopia ukabila unathaminiwa kuliko unavyodhani na wanalindana sana.
 
Ukabila wa Waethiopia ni ngumu sana. Mengitsu Alikua Muamhara. Mama yake alikua Mkono kabila dogo la kusini. Akakulia kusini.

Pia Mengitsu hakumpindua Haile Selassie direct. Selassie alipinduliwa na Kamati ya maofisa wadogo wa Jeshi. Miaka mitano baada ya mapinduzi ndipo Mengitsu akawa Rais kwa fitina nyingi za kisiasa.

Leo hii Abiy ni Muoromo kwa baba. Ila mke na mama yake ni Amhara. Huyu anapendwa zaidi na WA Amhara kuliko wa Oromo wa babaye.

Kila kibila lina Interest zao. Kibachoangaliwa ni interest. Unajua Haile Selassie alipendwa na Watigray sana. Maana aliruhusu wakajazana selikali.

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
 
Tigrinya ni lugha (language) inayoongelewa kaskazini mwa Ethiopia katika jimbo la Tigray na nchini Eritrea. Tafuta popote, hata kwa ku-google, utapata ukweli huo.

Kwahiyo watu wa jimbo la Tigray wanaelewana na wa Eritrea kwa lugha iitwayo Tigrinya kama ambavyo mmasai wa Kenya anaelewana na wa Tanzania kwa kimasai. Kusema Watigray ni kutaja watu watokao Tigray, lugha yao Tigrinya.

Hakuna tofauti na kusema Watanzania lugha yao ni Kiswahili au Wa-Mbeya lugha yao ni Kinyakyusa au Kisafwa. Kwahiyo Tigray ni jina la jimbo, si lugha inayoongelea. Lugha ni Tigrinya!
Ona Kitigrinya - Wikipedia, kamusi elezo huru
Kimsingi ni lugha ileile pande zote mbili, jimbo la Tigray na Eritrea. Ingawa wasemaji pande zote mbiili zimeanza kutofautiana katika historia.
 
Mkuu Mengistu hakuwa Amhara na wa Amhara mpaka leo wanamchukia kupita kiasi. Alitokea southern kama Haile mariam Desalegn. Muamhara asingeweza kumuua kinyama muamhara mwenzake Haile Selassie. Yaani ethiopia ukabila unathaminiwa kuliko unavyodhani na wanalindana sana.
Mengistu alitazamiwa kuwa Amhara maana babake alikuwa Amhara na mamake Mkonso. Walikuwepo Waamhara wengi hasa vijana waliomchukia Haile Selassie maana alikuwa alikwamisha maendeleo ya nchi pia hakujali kweli balaa ya njaa iliyoharibu nchi wakati wa mapinduzi.
 
We unayesema zito mjinga unaweza kukuta unakaa kwa shemeji yako king'amuzi kikiisha unamwambia Dada Leo unamtukana zitto ambaye humfikii kwa chochote
Teh teh teh..Ndipo ujinga wa wtu wengi ulipojificha hapa.kwa kudhan nakaa kwa shemeji yangu basi kila atakachosema zitto basi hakipasw kukosolewa bwana mdogo unakwama wapi.
Yan kwasaba u i zitto baai kila anachose.a yeye asipingwe kwakua??????
By the way.
Nimejenga.
Nimeoa.
Nina nyumba
Nina gari
Nina watoto wa 3
Nategemewa kwakifupi.af naona normal tu wala maisha sion kama nimeyapatia bado natafuta.
Acha mawazo ya kimaskini
 
Ukabila wa Waethiopia ni ngumu sana. Mengitsu Alikua Muamhara. Mama yake alikua Mkono kabila dogo la kusini. Akakulia kusini.

Pia Mengitsu hakumpindua Haile Selassie direct. Selassie alipinduliwa na Kamati ya maofisa wadogo wa Jeshi. Miaka mitano baada ya mapinduzi ndipo Mengitsu akawa Rais kwa fitina nyingi za kisiasa.

Leo hii Abiy ni Muoromo kwa baba. Ila mke na mama yake ni Amhara. Huyu anapendwa zaidi na WA Amhara kuliko wa Oromo wa babaye.

Kila kibila lina Interest zao. Kibachoangaliwa ni interest. Unajua Haile Selassie alipendwa na Watigray sana. Maana aliruhusu wakajazana selikali.

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Abbiy sio mama yake tu bali hata mkewe ni muamhara na kiukweli serikali uake kajaza kabila la ukeni na ujombani akiwapa kisogo waoromo wenzake. Kiujumla anapendwa zaidi na Amharans kuliko oromo na analijua hilo ndiyo maana viongozi influential wakioromo wote wapo ndani kama Jawar Muhamed au wakizingua zaidi anawaua kama yule mwanaharakati na mwanamuziki Hachaaalu Hundessaa.

Yaani kwa upande wa waoromo hana chake nahata uchaguzi mkuu uliopita eneo kubwa laa waoromo walisusia uchaguzi
 
Back
Top Bottom