Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Propaganda tu , wiki hii wamepokea kichapo kweli kweli.Hawa TDF wapo wanamarch kweli kwenda Addis au ni propaganda tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Propaganda tu , wiki hii wamepokea kichapo kweli kweli.Hawa TDF wapo wanamarch kweli kwenda Addis au ni propaganda tu?
Mkuu Ethiopia ukabila sio kosa, yaani misingi ya kiutawala ethiopia makabila yanamchango wake saana na ni vigumu sana mtu wa kabila moja kupendwa na kabila lingine. Hivyo usidhani Jawar alichokifanya ni kipya bali ndiyo maisha ya kila siku ya ethiopia. Kufungwa kwake ninaamini ni Abbiy kuogopa ushindani kwenye uchaguzi mkuu maana jamaa anavyopendwa na waoromo sijui utawaambia nini wakuelewe.Sasa ili kutokomeza ukabila hupaswi na ww kuvaa uhusika wao bali jikite kwenye uhalisia sio kumlaumu Abey kwa kumfunga mtu anaetaka kuleta ukabila
Typing error mkuu nilitaka kuandika "alijaribu".Endelea na maombi, ipo siku mambo yatabadilika. Ila United Republic haitawezekana. Kwa maoni yangu naona Pure federalism ndio itawafaa, ikiyapa majimbo uhuru fulani limited kwa mambo yao ya ndani. Hii itawezesha Watu kuhamia majimbo ambayo yanaendeshwa vyema na kuongeza muingiliano. Katiba ilinde tu uhuru na fairness kwenye majimbo kusiwe na kubaguana. Kubagua iwe serious criminal offense.
United republic itasumbua kama Zenji na Tanganyika zinavyosumbua mpaka leo!
Sidhani kama aliharibu. Ilikuwa ni sahihi kuelekea Ethiopia ambayo huwa unaiombea. Ilikuwa ni an unavoidable pain. Else angekuwa kinyago chao pale Abeba. Nadhani akishinda hii vita itampa leverage ya kutengeneza Ethiopia tofauti walau na aliyoikuta. Ila itategemeana kama atashinda na hatua atakazofuata baada ya hapo.
Kutawala nchi kama Ethiopia sio kazi rahisi. Naona wengi wanaandika as if Ethiopia ni Bongo!
Yap ni kweli, waoromo more than 65% ni muslims na kihistoria wanasema almost wote walikuwaga waislam lakini Menelik II ndiye aliyewaingiza orthodox kwa nguvu maana alitaka Ethiopia yote wawe orthodox christians na wazungumze Amharic kama alivyokuwa yeye. Kwenye Amharic aliweza ila kwenye dini hakufanikiwa kuwabadilisha wote.Pia ukiacha Somali region,wengi wao ni Waislam
La hasha! Siungimkono ukabila lakini ndiyo njia waliyoichagua Ethiopia kusimamisha nchi yao na umoja wao. Pamoja na ukabila wao ikitokea chokochoko kutoka nje ya nchi wanasimama pamoja.Unataka kutuambia tiba ya ukabila ni kuunga mkono ukabila!?
Ndio tuseme Watusi walikuwa sahihi kuwauwa wahutu kisa tu wao ni waumini wa ukabila?
True federalism haiwezi kuwa based na kabila, itashindwa tu. Inapaswa iwe based kwenye geo-economical basis. Halafu watu waji adjust na kuishi popote. Tena kwa nchi yenye ukabila inafaa iwe so mixed kiasi kwamba hakuna kabila litasema hii ni state yetu. Next step ni kutafuta namna ya kuwachanganya ili kupoteza purism ya kabila. Mtu Babu yake ni mu Oromo, alioa mu Amharic na yeye ana mke Mtigrinya. Unadhani kuna vita hapo?Federalism yenye mfumo wa kikabila mara nyingi ni shida sana Afrika haswa kuhusiana na tofauti za ki tamaduni,raslimali na kadhalika.Angalia Nigeri(Biafra),Cameroun(English Speaking region),Senegal,Angola etc.Kunahitajika ukomavu sana kuweza kufanikiwa under federalism.
Je wewe km mwafrika timamu , unaona ni sahihi mkuu?Mkuu Ethiopia ukabila sio kosa, yaani misingi ya kiutawala ethiopia makabila yanamchango wake saana na ni vigumu sana mtu wa kabila moja kupendwa na kabila lingine. Hivyo usidhani Jawar alichokifanya ni kipya bali ndiyo maisha ya kila siku ya ethiopia. Kufungwa kwake ninaamini ni Abbiy kuogopa ushindani kwenye uchaguzi mkuu maana jamaa anavyopendwa na waoromo sijui utawaambia nini wakuelewe.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimesoma Uzi Wote, ila nmeshindwa kuchagua upande. Hivyo bas atakaye shinda hiyo vita kila la kheri katika ustawi wa Ethiopians.
nyerere aliifanya hii Tanzania , kipindi cha azimio la Arusha , thanks lord tumewai kuwa na bright leadersTrue federalism haiwezi kuwa based na kabila, itashindwa tu. Inapaswa iwe based kwenye geo-economical basis. Halafu watu waji adjust na kuishi popote. Tena kwa nchi yenye ukabila inafaa iwe so mixed kiasi kwamba hakuna kabila litasema hii ni state yetu. Next step ni kutafuta namna ya kuwachanganya ili kupoteza purism ya kabila. Mtu Babu yake ni mu Oromo, alioa mu Amharic na yeye ana mke Mtigrinya. Unadhani kuna vita hapo?
Sema hii issue inataka akili, ujasiri, na uumilivu sana. Ni project ya muda mrefu sana. Mungu awasaidie hawa ndugu zetu watoboe.
Hope ile issue ya vitambulisho kubeba kabila lako itakuwa imekwishwa!
Na kuna watu hawampendi mpaka leo kwa sababu ya vijiji vya ujamaa. Na wako wengi. Na wana haki ya kutompenda. It was painful!nyerere aliifanya hii Tanzania , kipindi cha azimio la Arusha , thanks lord tumewai kuwa na bright leaders
Punguza chuki wewe mwarabu mweusi
Iran walimwaga armed drone,, UAE walimwaga armoured personal carrier, na silaha zingineInamaana Ethiopia hawakuwa na silaha?
Sana, ukabila ulikua mkubwa sana enzi za kina chief mirambo,, nyerere alifanya kazi kubwa sana[emoji23][emoji23]Lakini hata Tanzania ilikuwa ya kikabila until someone rolled the sleeves and decided to do something. Don't you think Ethiopia need someone to do something about it? Au ndio inabidi iwe fate yao, unavyoona wewe? Just askin'