Ethiopia: Updates on war against TPLF

Ethiopia: Updates on war against TPLF

Dini yenyewe ya Mwarabu hiyo halafu unawaita watu makafikiri.
Huwezi kuswali bila kutumia lugha ya kiarabu na mungu wao anasikia lugha moja tu ya kiarabu. Kazi kwako
Kwani wale co makafiri? Au ni wamesilimu wakawa waisilamu mzee
 
Je wewe km mwafrika timamu , unaona ni sahihi mkuu?
Mkuu unajua ukabila kwa Afrika ni nchi chache sana zipo kama Tz! Hata nchi zilizotuzunguka tu ukabila unawatafuna. Hivyo Afrika na ukabila ni kama samaki na maji.

Binafsi sina cha kuwaamulia waliochagua kuutukuza ukabila ila nawaombea tu waishi kwa amani.
 
Maiti za WaAhmara katika miji iliyokuachini ya Watigray. Ni kama Wamhara pia wataenda kulipa kisasi. Maana Watigray wameua sana na kubomoa Amhara. Sasa picha imegeua vita enaelekea Tigray.

Mungu awajalie kusamehe

Picha ni maita za WaAmhara kama walivyouwawa na Tigray.View attachment 2031744View attachment 2031745View attachment 2031747

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Mkuu ikikupendeza please usitume picha za maiti. Tuwape thamani waliotangulia mbele za haki
 
Dini yenyewe ya Mwarabu hiyo halafu unawaita watu makafikiri.
Huwezi kuswali bila kutumia lugha ya kiarabu na mungu wao anasikia lugha moja tu ya kiarabu. Kazi kwako

Kuna waarabu ambao siyo waisilamu kwa maana ni makafiri kama wengine wasiyo waisilamu.

Hata wewe Mungu akikujaaria ukauona ukweli, ukasilimu hapo utakuwa tiari upo katika uisilamu na siyo kafiri tena, na uisilamu itakuwa ndiyo dini yako.
 
Mkuu unajua ukabila kwa Afrika ni nchi chache sana zipo kama Tz! Hata nchi zilizotuzunguka tu ukabila unawatafuna. Hivyo Afrika na ukabila ni kama samaki na maji.

Binafsi sina cha kuwaamulia waliochagua kuutukuza ukabila ila nawaombea tu waishi kwa amani.
Swali langu je huo ukabila ni sahihi ? ( mkuu inaonekana unapenda kubishana sana maana maswali yangu ni simple sana ila unakwepa majibu sijui unanufaika vipi kushadadia kuvunjika kwa bara la afrika kwa kusapoti factors zinazotugawa waafrika mf ukabila kisa eti ulikwepo sehemu husika
 
Kuna waarabu ambao siyo waisilamu kwa maana ni makafiri kama wengine wasiyo waisilamu.

Hata wewe Mungu akikujaaria ukauona ukweli, ukasilimu hapo utakuwa tiari upo katika uisilamu na siyo kafiri tena, na uisilamu itakuwa ndiyo dini yako.
Unaita wengine makafiri kwa imani ya kusimuliwa. Hujawahi kufa ukaona kuna akhera. Hujawahi kuwa na ushahidi wowote wa kuthibitika kuwa ulivyofundishwa ni kweli, yet unawaita wengine makafiri, unawachukia. Jiangalie tena ndugu kama unachofanya ni sawa.

Fikiria tena na tena bila mihemko, una uhakika wa asilimia 100 kuwa unachoamini ni sahihi? Je umewahi kuwa na uthibitisho wako binafsi, sio wa kuhadithiwa au kufundishwa kwamba unachoamini ni sawa asilimia mia moja? Je ukifa leo (Mungu akupe maisha marefu) ukakuta yote uliyoamini sio sahihi, utafanya nini?

Ni changamoto yangu kwako, kabla hujawaita wengine makafiri, basi uwe na uhakika moyoni mwako kuwa unachoamini ni sawa asilimia 100. Vinginevyo ukiwa hauko sawa utajibu mbele ya Mungu kuwaita viumbe wake makafiri!

Turudi kwenye uzi wa ENDF na TPLF/TDF
 
Akili kubwa [emoji109]
 
Commander in Chief of Tigray Defence Force's message to the people of Tigray - Eritrea Hub

Tamko la kamanda mkuu wa Jeshi la Tigray. Kuhusu Hali ya vita na kurudi nyuma kwa Jeshi lake.

Commander in Chief of Tigray Defence Force’s message to the people of Tigray

DECEMBER 3, 2021 ERITREA HUB ETHIOPIA, NEWS, TIGRAY

Lieutenant General Tadesse Werede Tesfay, Commander-in Chief of the Tigray Defense Forces’s message to the people of Tigray

“Honored sons and daughters of Tigray,

We have been [closely] following the fact that you were being victims of great propaganda attacks of the enemy.

We all know that it [the Ethiopian government] has been making use of all the lies of the world, everything possible, things which ought and ought not to be uttered, and has been and is still carrying out propaganda attacks.

We are in a war, and in war, we all know that there is no smooth road.

This is not something which is new especially to the people of Tigray. It is known that in war there is pushing forward and being pushed back; during fighting one can withdraw a little or advance forward greatly.

What I would like to say, with this as background is, in the past few days, we decided that we needed to make territorial adjustments and left some of the territories, which we had reached, of our own accord in order to minimize vulnerability.

This is one thing; this is not something we did because we were overpowered; all the adjustments we made in all fronts and in all areas, we made voluntarily. Yet [we should keep in mind that] the adjustments were also done within the pressures that take place during war.

It is inevitable that war [inherently] puts you in situations where you are pressured to re-adjust [pull back] or advance forward or take other actions.

Consequently, in accordance with the statement given by the military command, we have made some adjustments.

When we made these adjustments, the enemy considered it as a huge victory; it started carrying out massive operations in various areas.

The operations [mobilizations] which it undertook included local guards [Nech Lebash], militia, trained and untrained [recruits]; it started to carry out offensives from all directions.

It has also been disseminating propaganda saying, “I captured them here and cut [enveloped] them there”. But what is even more amazing is situations were observed when it tried to put all the Amhara farmers in danger by telling them, “position yourselves on the [bottle] neck; capture them; they have scattered”. The other amazing thing is he even started saying, “surrender”.

We are all seeing that he is still saying it.

But I would like to state that the facts on the ground are different from this.

Firstly, the territorial adjustment was [done] voluntarily.

Secondly, the adjustment was done while sorting out [taking care of] the enemy’s attacks and operations. We know that when we go one step back, we will go two steps forward tomorrow. This is also not something new to the people of Tigray.

Having said that, the noise and propaganda of the enemy, their saying, “we’ve entered through this; we’ve mobilized through that”, won’t remain for long.

I would like to assure you that we will reverse this in a short time, reach to our full capability and our full offensive and shorten the war.

The [process of] reversing of the [enemy] noise, which has been prevailing up to now, has also started. I would also like to assure you that we will transition to big tasks [missions] in a few days wherein we will score greater victories.

We are in a very reliable position [militarily] at this moment. The enemy’s attempts which it had undertaken under presumption, is in the process of being neutralized.

Hence, the people of Tigray, “[you should] be confident of your children!”.

Whatever the technology and however large the manpower the enemy brings, [you should] have confidence without doubt on your children, sisters, brothers, fathers, and in general on this army. Soon we will transition into a huge leap; I would like to assure you that the time when we will bring the war to conclusion is very close.

Victory to the people of Tigray!

Tigray will be victorious!”

Aache maneno mengi kala kipigo anajitetea nini
 
Swali langu je huo ukabila ni sahihi ? ( mkuu inaonekana unapenda kubishana sana maana maswali yangu ni simple sana ila unakwepa majibu sijui unanufaika vipi kushadadia kuvunjika kwa bara la afrika kwa kusapoti factors zinazotugawa waafrika mf ukabila kisa eti ulikwepo sehemu husika
Usikasirike mkuu! Hakuna sehemu yeyote ile duniani mfumo wa ukabila ukawa na manufaa zaidi kuliko hasara hivyo binafsi siuungimkono ukabila na nimeshasema hivyo post zangu zilizotangulia mkuu sema unapenda nilirudie hili mara nyingi.

Lakini kuna sehemu ukabila umeshakita mizizi kupitiliza kama ethiopia. Hao ni kuwaombea waishi kwa amani tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sijakasiria mkuu usijali
 
Usikasirike mkuu! Hakuna sehemu yeyote ile duniani mfumo wa ukabila ukawa na manufaa zaidi kuliko hasara hivyo binafsi siuungimkono ukabila na nimeshasema hivyo post zangu zilizotangulia mkuu sema unapenda nilirudie hili mara nyingi.

Lakini kuna sehemu ukabila umeshakita mizizi kupitiliza kama ethiopia. Hao ni kuwaombea waishi kwa amani tu.
Mkuu napenda majibu straight halaf ndo unanielewesha nsichokijua ila kuyakimbia maswali nahis unakuwa hujantendea haki
 
Ukweli gani huo ili nianze kuswali kwenye dini inayotumia lugha moja?
Nitasali kwenye dini ambayo inatumia lugha zote kumuabudu huyo Mungu. Ninaweza kusali hata kwa kimakua huyo Mungu akanisikia.
Kuna waarabu ambao siyo waisilamu kwa maana ni makafiri kama wengine wasiyo waisilamu.

Hata wewe Mungu akikujaaria ukauona ukweli, ukasilimu hapo utakuwa tiari upo katika uisilamu na siyo kafiri tena, na uisilamu itakuwa ndiyo dini yako.
 
Katika vitu hatari duniani ni ukabila na dini
Usikasirike mkuu! Hakuna sehemu yeyote ile duniani mfumo wa ukabila ukawa na manufaa zaidi kuliko hasara hivyo binafsi siuungimkono ukabila na nimeshasema hivyo post zangu zilizotangulia mkuu sema unapenda nilirudie hili mara nyingi.

Lakini kuna sehemu ukabila umeshakita mizizi kupitiliza kama ethiopia. Hao ni kuwaombea waishi kwa amani tu.
 
Unataka kutuambia tiba ya ukabila ni kuunga mkono ukabila!?
Ndio tuseme Watusi walikuwa sahihi kuwauwa wahutu kisa tu wao ni waumini wa ukabila?
Wahutu waliwaua watusi na sio watusi waliwaua wahutu, unakijua unachoandika kweli?
 
Back
Top Bottom