Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 11,884 Reaction score 21,175 Nov 2, 2026 #1 Mwaka 2024 Ethiopia walipiga marufuku uingizaji wa magari yanayotumia mafuta. Wameruhusu magari ya umeme tu. Idadi ya magari ya umeme imeongezeka kutoka 7000 hadi 100,000. Pia wameanza kuassemble magari ya umeme nchini mwao. Tuwaige au wamepotoka? View: https://youtu.be/aa2VfXs3qY0?is=obme5CzeSdiECS3O
Mwaka 2024 Ethiopia walipiga marufuku uingizaji wa magari yanayotumia mafuta. Wameruhusu magari ya umeme tu. Idadi ya magari ya umeme imeongezeka kutoka 7000 hadi 100,000. Pia wameanza kuassemble magari ya umeme nchini mwao. Tuwaige au wamepotoka? View: https://youtu.be/aa2VfXs3qY0?is=obme5CzeSdiECS3O
IDonyee JF-Expert Member Joined Apr 21, 2025 Posts 676 Reaction score 763 Nov 2, 2026 #2 Mmmh labda CCM watakapotoķa madarakani