Ethiopia wanaomba hata kilomita 20 tu za ufukwe, Tanzania tuna zaidi ya kilomita 1500 lakini hakuna cha maana. Shida ni nini?

Siasa za Cold War lakini pia mfumo wa federal states unawapa autonomy majimbo hivyo inakua rahisi kujitenga au kuanzisha vita vya kujitenga. Hata Ogaden ilitaka kujitenga ijiunge somalia ila wakashindwa vita

Misri na Gaza wapi na wapi? Hao Israel waliwahi chukua Sinai (Misri) ila baada ya pressure kubwa ya mataifa mbalimbali ikabidi waiachie otherwise leo hii misri wangeporwa ardhi kibao.

Anyway kama Israel anaachwa kuteka anavyojiskia, Ethiopia nayo iivamie Djibouti na Eritrea ijitwalie bandari alafu ndio utaona unafiki wa wazungu.
Ethiopia itapendelewa
 
UJENZI WA BANDARI HUZUIA ARDHI KULIWA NA MAJI, HII NI FAIDA KUBWA MNO NJE NA SHUGHULI ZA KIBIASHARA.
 
Siasa za Cold War lakini pia mfumo wa federal states unawapa autonomy majimbo hivyo inakua rahisi kujitenga au kuanzisha vita vya kujitenga. Hata Ogaden ilitaka kujitenga ijiunge somalia ila wakashindwa vita

Misri na Gaza wapi na wapi? Hao Israel waliwahi chukua Sinai (Misri) ila baada ya pressure kubwa ya mataifa mbalimbali ikabidi waiachie otherwise leo hii misri wangeporwa ardhi kibao.

Anyway kama Israel anaachwa kuteka anavyojiskia, Ethiopia nayo iivamie Djibouti na Eritrea ijitwalie bandari alafu ndio utaona unafiki wa wazungu.
Mkuu, Israel alIziteka Sinai na Gaza. Wakati wamewekeana mkataba wa Amani alipotaka kuwarudishia Gaza, Misri aliikataa, sababu tayari wapalestina walikuwepo baada ya Israel kuwaruhusu kukaa baadhi maeneo ya Gaza. Kumbuka Gaza ilikua annexed na Misri mwaka 1948.
Kwenye vita ya mwaka 1967, Israel ikaikamata Gaza na Sinai.
Kwenye ule mkataba wa Camp David mwaka 1979, Egypt alikubali kuchukua Sinai lakini akaikataa Gaza (ingawa hata Sinai alipewa ila hana mamlaka nalo kamili, ni eneo lipo chini ya UN).
Baada ya ule mkataba wa Oslo, Israel ikakubali kuiacha Gaza kwa Wapalestina. Misri alipoona Palestina wameachiwa Gaza wajitawale, na wanafanya mambo yanayohatarisha usalama wao, ndipo baadaye ikaamua kujenga border wall na kuweka get pale border.
Alij7a Wapalestina si watu wa kuchangamana nao, na mfano hali ni Jordan
 
Kuna faida kwa nchi zote mbili husika. Ethiopia anapata Bandari na navy base. Hivyo kuongeza biashara zake maradufu.

Somaliland anapata kodi, ulinzi, hisa kwenye Ethiopia airline na kutambuliwa kama nchi huru na Ethiopia.
 
Si ajabu Somalia ame_complain vibaya sana na kumrudisha balozi wake nyumbani.
 
Ethiopia wanashindwaje kuivamia Djibouti wapate free entry ya port!! Kama Russia kavamia Ukraine na Israel kamvamia Gaza basi naye aivamie tu maana dunia kwa sasa ni survival of the fittest.
Hivi unaona ni rahisi
 
Watanzania bado tina fikra za ujamaa na kila wakati tunahisi muwekezaji ni mwizi.

Kama sio Samia kuwa bold, uwekezaji bandarini usingefanyika. Bado Bagamoyo, kidogo watu watoane roho kwa ten pasent, msukuma kachukua hela kaenda kujenga bandari Nyamirembe,Chato, na hakuna meli iliyowahi kufika tangu bandari iishe.

Morogoro ilitajwa kama moja ya mikoa inayoweza kulisha taifa, who cares kuja na mkakati maalum?

Karafuu inalimika baadhi ya mikoa ya nchi yetu huku bara, walio serious ni zanzibar tu!

Parachichi biashara kubwa sana, lakini huoni commitment ya serikali hata kuweka miundombinu ya maghala yenye mafriji maalum ya kuyatunza.

Tanga wana machungwa na machenza, who cares?

Kagera, Mbeya, Kilomanjaro wana ndizi, who cares to make the business go international?

Zabibu Dodoma? Mahindi tele Katavi na Rukwa

kwa nini hawashi umeme kwanza?
 
hakuna mtu anayegawa ufukwe kwa maana kila ufukwe una matumizi ya kiuchumi sasa ukiona haujui nini cha kufanya na ufukwe hadi ufikirie hata kuugawa kwa foreigners wakati you live in absolute poverty ujue una low IQ na haitoshi ku solve problems …
Kwani kuna mtu kabisha kuwa tuna low low low IQ?
Ni vyema kukubali tuonekane matajiri kuliko kujificha.
Kwa wingi wa rasilimali hizi plus amani Tanzania ilipaswa kutoa huduma nzuri ya elimu na afya bure kabisa.
Unfortunately kila leo NHIF wanatoa tamko upepo wa kisiasa ukiwa mkali wanabadili gear angani
 
Mbona wameisha saini MoU?
Huko Mogadishu kumewaka wanapiga kelele haswa kuhusu haya ingawa Hargeisa wamejitenga nao kwa unyanyasaji ule wa Barre miaka ya nyuma

Ethiopia ni kama jews tu wanazaliana Somaliland na ipo siku wataichukua mazima
Wanapambana haswa
Mwanzo wasomali walipokimbia vita vyao vya ndani walienda Ethiopia
Kwa jeuri ya hela waethiopia waliwaita wasomali Miungu wa Hela
Ila upepo ukabadilika Ethiopians wakapigana nao wqkakimbilia Somaliland na hata Wayemen ambao nao waliwauwa sana wasomali wakati huo ila wakakaribishwa vizuri tu

Sasa naona Ethiopian wameweka makazi kabisa na kumhonga Rais Muse Bihi ili wamegewe bahari
Ila jamaa wanawaza 50 years ijayo baada ya mkataba kwisha, watakuwa na mipango ipi

Mtakaokuwepo mtatupa updates sawa
 
Si ajabu Somalia ame_complain vibaya sana na kumrudisha balozi wake nyumbani.

Na Egypt anamuunga mkono Somalia. Ethiopia na Somaliland zitaimarika vizuri kijeshi na kibiashara na kiuchumi. Mkataba ni miaka hamsini.

Itakuwa vigumu kwa Somalia kuichukua tena Somaliland kufanya hivyo itabidi apambane na Ethiopia pia inaifanya Ethiopia kuwa na nguvu ya kijeshi na mdau muhimu hapo gulf of Aden, red sea na Bahari ya hindi.
 
Mbona wameisha saini MoU?
Huko Mogadishu kumewaka wanapiga kelele haswa kuhusu haya ingawa Hargeisa wamejitenga nao kwa unyanyasaji ule wa Barre miaka ya nyuma

Ethiopia ni kama jews tu wanazaliana Somaliland na ipo siku wataichukua mazima
Wanapambana haswa
Mwanzo wasomali walipokimbia vita vyao vya ndani walienda Ethiopia
Kwa jeuri ya hela waethiopia waliwaita wasomali Miungu wa Hela
Ila upepo ukabadilika Ethiopians wakapigana nao wqkakimbilia Somaliland na hata Wayemen ambao nao waliwauwa sana wasomali wakati huo ila wakakaribishwa vizuri tu

Sasa naona Ethiopian wameweka makazi kabisa na kumhonga Rais Muse Bihi ili wamegewe bahari
Ila jamaa wanawaza 50 years ijayo baada ya mkataba kwisha, watakuwa na mipango ipi

Mtakaokuwepo mtatupa updates sawa
Watakuwa more or less kama nchi moja tu kaka na mdogo wake. Japo wataendelea kuwa na bendera mbili.

Huyu Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed Ali ni akili kubwa sana.

Amekamilisha bwawa kubwa la umeme kutosheleza mahitaji ya nchi yake na kuuza nje ziada.

Ameiunganisha nchi kwa kuyashinda majeshi ya majimbo, kikabila.

Viwanda vingi sana vimefunguliwa na Wachina Ethiopia.

Ameboresha sana miundombinu.

Amemaliza vita na kusaini treaty na Eritrea.
 
Ni kweli jamaa anastahili sifa zote ila kapambana na watu wengi wamekufa pia
Wapinzani na wananchi wa kawaida aliwauwa sana 2020
Jamaa ni Modern Dictator kama wanavyomuita wachambuzi au Charming Dictator
Kweli kaibadili sana Ethiopia ila kwa ukatili kama nchi za kimasikini zinavyotaka kupata maendeleo kwa mtutu

"Sisi bado tunawakenulia meno majizi ya mali za Umma na hakuna bado mtu wa kutufikisha juu kwenye utajiri

Nisikuchoshe jisomee kidogo makala haya
Screenshot_20240107_125830_Chrome~2.png
 
Ni kweli jamaa anastahili sifa zote ila kapambana na watu wengi wamekufa pia
Wapinzani na wananchi wa kawaida aliwauwa sana 2020
Jamaa ni Modern Dictator kama wanavyomuita wachambuzi au Charming Dictator
Kweli kaibadili sana Ethiopia ila kwa ukatili kama nchi za kimasikini zinavyotaka kupata maendeleo kwa mtutu

"Sisi bado tunawakenulia meno majizi ya mali za Umma na hakuna bado mtu wa kutufikisha juu kwenye utajiri

Nisikuchoshe jisomee kidogo makala hayaView attachment 2864593
Ilikuwa hakuna namna kuituliza nchi na kuwanyanganya silaha waasi, kabila moja au mawili ambayo yalitaka siku zote yawe juu. Yaitawale Ethiopia japo idadi yao ni ndogo kiuchumi, kijeshi, kibiashara. Nchi ingesambaratika vipande vipande asingetumia nguvu kubwa kuwarudisha kwenye mstari kama Sudan.
 
Suala gaz
Mkuu, Israel alIziteka Sinai na Gaza. Wakati wamewekeana mkataba wa Amani alipotaka kuwarudishia Gaza, Misri aliikataa, sababu tayari wapalestina walikuwepo baada ya Israel kuwaruhusu kukaa baadhi maeneo ya Gaza. Kumbuka Gaza ilikua annexed na Misri mwaka 1948.
Kwenye vita ya mwaka 1967, Israel ikaikamata Gaza na Sinai.
Kwenye ule mkataba wa Camp David mwaka 1979, Egypt alikubali kuchukua Sinai lakini akaikataa Gaza (ingawa hata Sinai alipewa ila hana mamlaka nalo kamili, ni eneo lipo chini ya UN).
Baada ya ule mkataba wa Oslo, Israel ikakubali kuiacha Gaza kwa Wapalestina. Misri alipoona Palestina wameachiwa Gaza wajitawale, na wanafanya mambo yanayohatarisha usalama wao, ndipo baadaye ikaamua kujenga border wall na kuweka get pale border.
Alij7a Wapalestina si watu wa kuchangamana nao, na mfano hali ni Jordan
Suala la Gaza na ukingo wa magharibi ni maeneo ambayo waisraeli waliacha Kwa ajili ya wa Palestrina. Sasa Kwa kuwa maeneo haya yametengana, Israel iliona ni busara Gaza achukue Misri na hao wapelistina na ukingo wa magharibi Jordan achukue na hao wapelistina.
 
Ilikuwa hakuna namna kuituliza nchi na kuwanyanganya silaha waasi, kabila moja au mawili ambayo yalitaka siku zote yawe juu. Yaitawale Ethiopia japo idadi yao ni ndogo kiuchumi, kijeshi, kibiashara. Nchi ingesambaratika vipande vipande asingetumia nguvu kubwa kuwarudisha kwenye mstari kama Sudan.
Kweli kabisa mkuu
Wakati mwingine sacrifices ni muhimu kwa nchi
Sisi bado sana
 
Back
Top Bottom