Ethiopia: Waziri Mkuu Abiy Ahmed atangaza hali ya dharura nchini kote

Akimbie kama Ashraf Ghani wa Afghan
 
Hiyo nchi itasambaratika. Shirikisho lao likikuwa dhaifu kupita kiasi. Ila bado najiuliza, nani anawapa hawa watigray silaha? Maana hadi jeshi linaretreat bila formation ujue limekutana na kipigo kikali.
CIA, MI6
 
Abiy anatumia zaidi wanajeshi wa Eritrea moral ya wanajeshi wake ipo chini saana pia wamama wanaandamana hawataki watoto wao kuingia front line wanadai hiyo ni vita ya Aby mwenyewe

kwa hali hii ni vyema Aby akakimbia nchi kwa aibu
Hatakuwa na jinsi
 
Kumbe kajichimbia kaburi
 
iki ninachofahamu kuhusu Ethiopia.. hii tabia kila tatizo kuwaangushia jumba bovu mabeberu sijui itatutoka lini!!.
 
hivi uwa mnapata faraja ya kuandika uwongo bila benefit yoyote?.
et trump aliwaaambia Misri wakasambalatishe bwawa!!.
 
Pumbaf kabisa ukabila,ukabila
Narudia Tena ukabila unawamaliza wale jamaa kudadadeq zao,ila Tigray ni kabila la watu wenye akili japo ni wachache tatizo ni pale vilaza wanapoona wanaonewa wanatamani nao wapewe nchi wakati hawana weredi wowote mwisho kurudishana nyuma tu,
Kubali kataa jamii yeyote iliyowekeza kwenye Elimu ndio huongoza makundi yote huo ndio ukweli mengine ni kujitutumua tu!
 

Hesabu mbovu?
Hebu fafanua MKUU
 
Wakuu naomba kuuliza kidogo kwa yanayoendelea Ethiopia.
1. Hivi kimuundo huko Kati ya rais na waziri Mkuu nani ni mkubwa. Na je ,wanaingia madarakani kwa njia gani?
2. Kwanini yanayoendelea huko anayelaumiwa zaid ni waziri Mkuu na sio rais?.
3. Ikitokea hawa waasi wakauteka huo mji mkuu, serikali itakua imeangushwa vipi nafasi ya rais itabaki vipi?
 
Wewe Hilo jina la magufuli hapo litoe
 
Hii tabia ya kila shida zenu kuwatupia wazungu ni ya kindezi sana aisee, yaani nchi zote 53 za Africa hamuwezi kushughulikia shida zenu?? Mbona mkisikia kiongozi wenu kapinduliwa na jeshi mnakimbilia kuweka vikwazo??
 
Mswahili kwa visingizio [emoji12][emoji12] Vipi kuhusu Nyerere naye aliuwawa au??
 
Tuache masihara jamani.
Hivi Magufuli alikuwa mtu wa haki?
Ni nani alimuondoa Magufuli madarakani?
Ni tatizo lake la moyo au Covid au njama za mabeberu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu wabongo kwa visingizio hatari [emoji119][emoji119]
 
"Mwafrika hawezi kujitawala"Botha

"Wape bunduki waafrika uone watakavyo anza kuuana"Botha
 
Si kila sehemu unaunga mkono...
Russia na Marekani lengo lao kuuza silaha kwa Ethiopia labda Mchina awasaidie
Russia ameokoa nchi nyingi sana kama Iran na Syria... nchi ambazo mabeberu walitaka kuwamaliza. Ethiopia na hasa huyo waziri mkuu, wameponzwa na hilo bwawa. Mabeberu hawataki Africa wawe na umeme wa uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…