Experience Yangu nilipanda Kenya airways mara 2.na Ethiopia mara moja.mara ya kwanza Kenya airways sikupenda service zao kabisa na mzigo wangu nikaambiwa utakuja Tanzania baada ya siku 3. Na nasikia mzigo wako unaweza ukachanywa vikaibiwa vitu ( ila haijawahi kunitokea) mara ya pili service ilikuwa nzuri na wapo on time . Ethiopia service zao nzuri ndani ya ndege ila airport yao tu Kwa ndege zinazoenda nchi za Africa kama huhudumiwi ipasavyo.tofauti na airport ya Kenya. Hiyo Ethiopia nilipanda muda kidogo uliopita maybe wamebadilika.