Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau, nikiri tu mimi kwetu hukoooo NGARA vijijini karibu na nchi ya RWANDA, mjini nimekuja na mbio za Mwenge na shule za kuunga unga a.k.a nimeresit mara 7.
Nimepata kazi kwenye N.G.O inayojihusisha na mambo ya Afya hivyo kusafiri kwa ndege ni NI KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI sasa ndege ninazozijua ndo hizo hapa (ET vs KQ). Je nyie wajuvi wa mambo mliokwea hizo ndege nani zaidi kati ya ET vs KQ katika nyanja zifuatazo;
1. Reliable & Convinient booking system (including payment mode = mobile money, Credit card, CASH/local or foreign currency).
2. Kwenda na muda (wasioendekeza frequent cancellation, delays)
3. Ground Staff
4. Inflight services (First Aid, Entertainment, Meals)
5. Transfer Desk (Hotel in case of long layover)
6. Luggage handling.
Asanteni

Ni kweli mkuu na asante kwa ELIMU uliyotupa, nadhani tuwakimbilie ETHIOPIA kutupa maarifa haya ya ndege na si Rwanda.Ethiopian wako mbali sana huwezi linganisha na KQ. Mfano sasa hivi Kenya airways ndio wameomba kibali cha kwenda Washington direct wakati Ethiopian wanaenda muda tu.
Pili Ethiopian wana karakana (workshop) ya Boeing Africa hata Kenya wanaituimia kufanya baadhi ya matengenezo
Tatu Ethiopian peke ktk Africa ndio wanaoperate nndege ya kisasa kabisa Airbus A350. Kenya airways wanaisikia
Ndiyo maana hivi majuzi alipotutembelea wazirimkuu wa Ethiopia Rais wetu alimuomba watusadie kuendeleza shirika letu LA ndege Air TanzaniaNi kweli mkuu na asante kwa ELIMU uliyotupa, nadhani tuwakimbilie ETHIOPIA kutupa maarifa haya ya ndege na si Rwanda.
Kwa kuwa sijapanda kenya ngumu kutoa ushuhuda ila ethiopia hamna kitu izo sifa mbovu almost zote wanazo sema tu waafrika bajet zetu ndio zinaoana hapo.
Hivi mpaka tuombe ombe? Hatuwezi kutenga bajeti ya maana tukapeleka vijana vyuo vya huko ulaya, kanada na USA? Hiv unadhani Ethiopia akusaidie ili muanze kunyang'anyana abiria?Ndiyo maana hivi majuzi alipotutembelea wazirimkuu wa Ethiopia Rais wetu alimuomba watusadie kuendeleza shirika letu LA ndege Air Tanzania
Mbona mafundi wengi wa ndege za Boeing wamesoma pale Addis Ababa. Ni wataalam wa Boeing huwa wanakuja kufundisha paleHivi mpaka tuombe ombe? Hatuwezi kutenga bajeti ya maana tukapeleka vijana vyuo vya huko ulaya, kanada na USA? Hiv unadhani Ethiopia akusaidie ili muanze kunyang'anyana abiria?
Mkuu ethiopian airline unaijua vizuri au unaiona kwa tv tu. Ni nomaaa...its a leading airline hapa Africa. Wana madude .
Xxxxxx
Nataarifiwa wanaoenda kununua malonya China na Dubai ndo mnapewa mangalangala kwa ajili ya MABELO yenu.
Wadau, nikiri tu mimi kwetu hukoooo NGARA vijijini karibu na nchi ya RWANDA, mjini nimekuja na mbio za Mwenge na shule za kuunga unga a.k.a nimeresit mara 7.
Nimepata kazi kwenye N.G.O inayojihusisha na mambo ya Afya hivyo kusafiri kwa ndege ni NI KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI sasa ndege ninazozijua ndo hizo hapa (ET vs KQ). Je nyie wajuvi wa mambo mliokwea hizo ndege nani zaidi kati ya ET vs KQ katika nyanja zifuatazo;
1. Reliable & Convinient booking system (including payment mode = mobile money, Credit card, CASH/local or foreign currency).
2. Kwenda na muda (wasioendekeza frequent cancellation, delays)
3. Ground Staff
4. Inflight services (First Aid, Entertainment, Meals)
5. Transfer Desk (Hotel in case of long layover)
6. Luggage handling.
Asanteni
Sio Ethiopia tu.ndege nyingi za kwenda Kwa wazungu zinakuwa Nzuri ukilinganisha na ndege hizo hizo zinazoenda nchi za Africa.mfano emirate inayoenda New York from Dubai ni tofauti inayotoka Dubai kwenda Tanzania.ethiopian ana midude ya maana kutoka ADDIS kuelekea DUNIANI. Huku analeta zilezilizochoka, ADDIS - DULLES WASHINGTON (kupitia DUBLIN) ana ndege matata sana. Sio usshuzi wenu wa ajabu ajabu hapo jnia
Sasa kwa nn wanatufanyia hv asee. Au mpaka Mstahiki akawashtaki kwenye Sekretarieti?Sio Ethiopia tu.ndege nyingi za kwenda Kwa wazungu zinakuwa Nzuri ukilinganisha na ndege hizo hizo zinazoenda nchi za Africa.mfano emirate inayoenda New York from Dubai ni tofauti inayotoka Dubai kwenda Tanzania.