Ethiopian Airlines vs Kenya Airlines

Ethiopian Airlines vs Kenya Airlines

Wadau, nikiri tu mimi kwetu hukoooo NGARA vijijini karibu na nchi ya RWANDA, mjini nimekuja na mbio za Mwenge na shule za kuunga unga a.k.a nimeresit mara 7.

Nimepata kazi kwenye N.G.O inayojihusisha na mambo ya Afya hivyo kusafiri kwa ndege ni NI KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI sasa ndege ninazozijua ndo hizo hapa (ET vs KQ). Je nyie wajuvi wa mambo mliokwea hizo ndege nani zaidi kati ya ET vs KQ katika nyanja zifuatazo;
1. Reliable & Convinient booking system (including payment mode = mobile money, Credit card, CASH/local or foreign currency).
2. Kwenda na muda (wasioendekeza frequent cancellation, delays)
3. Ground Staff
4. Inflight services (First Aid, Entertainment, Meals)
5. Transfer Desk (Hotel in case of long layover)
6. Luggage handling.
Asanteni

Hii ingekuwa kule Kenyan news and politics ungeona wakenya wakitoka povu balaa!
 
Wadau, nikiri tu mimi kwetu hukoooo NGARA vijijini karibu na nchi ya RWANDA, mjini nimekuja na mbio za Mwenge na shule za kuunga unga a.k.a nimeresit mara 7.

Nimepata kazi kwenye N.G.O inayojihusisha na mambo ya Afya hivyo kusafiri kwa ndege ni NI KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI sasa ndege ninazozijua ndo hizo hapa (ET vs KQ). Je nyie wajuvi wa mambo mliokwea hizo ndege nani zaidi kati ya ET vs KQ katika nyanja zifuatazo;
1. Reliable & Convinient booking system (including payment mode = mobile money, Credit card, CASH/local or foreign currency).
2. Kwenda na muda (wasioendekeza frequent cancellation, delays)
3. Ground Staff
4. Inflight services (First Aid, Entertainment, Meals)
5. Transfer Desk (Hotel in case of long layover)
6. Luggage handling.
Asanteni

Mtoa mada ipeleke hii kule Kenyan news uone mada itakavyo changamshwa ndani ya dakika
 
Achana na KQ, usalama wa mizigo yako ni mdogo na pia hawako makini. Nimeshuhudia mabegi ya jamaa zangu yamechanwa mara mbili, mabegi ya DAR-HK kuachwa njiani(Nairobi) napo mara mbili ndani ya mwaka mmoja (2016).

Kingine hawa jamaa hawachelewi kukulipisha kamzigo/kijizawadi kidogo cha kurudi nacho. Kuna jamaa yangu Mganda alikuwa asafiri na KQ toka HK alikuwa na kimzigo fulani jamaa wakamwambia hawawezi kuchukua kama hold baggage, jamaa ilibidi abadili ndege kahamia ET wakachukua ule mzigo ndani ya Kg zake za hold baggage. Pamoja na pesa waliyomkata KQ kwa cancellation ya ticket yao lakini bado jamaa alisave.
 
U
Wadau, nikiri tu mimi kwetu hukoooo NGARA vijijini karibu na nchi ya RWANDA, mjini nimekuja na mbio za Mwenge na shule za kuunga unga a.k.a nimeresit mara 7.

Nimepata kazi kwenye N.G.O inayojihusisha na mambo ya Afya hivyo kusafiri kwa ndege ni NI KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI sasa ndege ninazozijua ndo hizo hapa (ET vs KQ). Je nyie wajuvi wa mambo mliokwea hizo ndege nani zaidi kati ya ET vs KQ katika nyanja zifuatazo;
1. Reliable & Convinient booking system (including payment mode = mobile money, Credit card, CASH/local or foreign currency).
2. Kwenda na muda (wasioendekeza frequent cancellation, delays)
3. Ground Staff
4. Inflight services (First Aid, Entertainment, Meals)
5. Transfer Desk (Hotel in case of long layover)
6. Luggage handling.
Asanteni

Ungeuliza kuhusu Bomberdier ningekupa jibu zuri hizo sina ujuaji nazo.
 
Watu bana .eti ethiopean analeta zilizochoka.deamliner si inakuja atleast mara moja kwa siku ? Mbo a si tunapeleka mikoani dash 8_q300 iliyochoka
 
KQ Hamna kitu,cancellation kibao! Kuna siku walinilaza Kigali bila kupenda,ila uwanja wa JomoKenyata umekaa vyema. ET zipo vyema na ET wanamake profit inayozidi all African airline combined. Sio watu wa mchezo mchezo
 
Ethiopian wako mbali sana huwezi linganisha na KQ. Mfano sasa hivi Kenya airways ndio wameomba kibali cha kwenda Washington direct wakati Ethiopian wanaenda muda tu.

Pili Ethiopian wana karakana (workshop) ya Boeing Africa hata Kenya wanaituimia kufanya baadhi ya matengenezo

Tatu Ethiopian peke ktk Africa ndio wanaoperate nndege ya kisasa kabisa Airbus A350. Kenya airways wanaisikia
 
Ni kweli mkuu na asante kwa ELIMU uliyotupa, nadhani tuwakimbilie ETHIOPIA kutupa maarifa haya ya ndege na si Rwanda.
 
Ndiyo maana hivi majuzi alipotutembelea wazirimkuu wa Ethiopia Rais wetu alimuomba watusadie kuendeleza shirika letu LA ndege Air Tanzania
 
Kwa kuwa sijapanda kenya ngumu kutoa ushuhuda ila ethiopia hamna kitu izo sifa mbovu almost zote wanazo sema tu waafrika bajet zetu ndio zinaoana hapo.

Mkuu ethiopian airline unaijua vizuri au unaiona kwa tv tu. Ni nomaaa...its a leading airline hapa Africa. Wana madude ya ajabu hatari
 
Ndiyo maana hivi majuzi alipotutembelea wazirimkuu wa Ethiopia Rais wetu alimuomba watusadie kuendeleza shirika letu LA ndege Air Tanzania
Hivi mpaka tuombe ombe? Hatuwezi kutenga bajeti ya maana tukapeleka vijana vyuo vya huko ulaya, kanada na USA? Hiv unadhani Ethiopia akusaidie ili muanze kunyang'anyana abiria?
 
Mbona mafundi wengi wa ndege za Boeing wamesoma pale Addis Ababa. Ni wataalam wa Boeing huwa wanakuja kufundisha pale
 
Dreamliner inatua lini bongo?
 
Mkuu ethiopian airline unaijua vizuri au unaiona kwa tv tu. Ni nomaaa...its a leading airline hapa Africa. Wana madude .
Xxxxxx
Nataarifiwa wanaoenda kununua malonya China na Dubai ndo mnapewa mangalangala kwa ajili ya MABELO yenu.
 
Wadau, nikiri tu mimi kwetu hukoooo NGARA vijijini karibu na nchi ya RWANDA, mjini nimekuja na mbio za Mwenge na shule za kuunga unga a.k.a nimeresit mara 7.

Nimepata kazi kwenye N.G.O inayojihusisha na mambo ya Afya hivyo kusafiri kwa ndege ni NI KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI sasa ndege ninazozijua ndo hizo hapa (ET vs KQ). Je nyie wajuvi wa mambo mliokwea hizo ndege nani zaidi kati ya ET vs KQ katika nyanja zifuatazo;
1. Reliable & Convinient booking system (including payment mode = mobile money, Credit card, CASH/local or foreign currency).
2. Kwenda na muda (wasioendekeza frequent cancellation, delays)
3. Ground Staff
4. Inflight services (First Aid, Entertainment, Meals)
5. Transfer Desk (Hotel in case of long layover)
6. Luggage handling.
Asanteni

mzee ETHIOPIAN ni level nyingine ati, hii ulinganishe na zile QATAR au Emirates ati, afu achana na videge vyao vinavyokuja TZ, ukifika ADIS ABAB ndo utajua wale ni level zingine kwenye usafiri wa anga, kwanza wana madege makubwa yanayo anza ruti pale ethiopia kwenda kwenye destinations zao kubwa.

actually katika ranking zilizofanyika recently ET ndo best in africa for now
 
ethiopian ana midude ya maana kutoka ADDIS kuelekea DUNIANI. Huku analeta zilezilizochoka, ADDIS - DULLES WASHINGTON (kupitia DUBLIN) ana ndege matata sana. Sio usshuzi wenu wa ajabu ajabu hapo jnia
Sio Ethiopia tu.ndege nyingi za kwenda Kwa wazungu zinakuwa Nzuri ukilinganisha na ndege hizo hizo zinazoenda nchi za Africa.mfano emirate inayoenda New York from Dubai ni tofauti inayotoka Dubai kwenda Tanzania.
 
Sasa kwa nn wanatufanyia hv asee. Au mpaka Mstahiki akawashtaki kwenye Sekretarieti?
 
Back
Top Bottom