Ethiopian Airlines vs Kenya Airlines

Experience Yangu nilipanda Kenya airways mara 2.na Ethiopia mara moja.mara ya kwanza Kenya airways sikupenda service zao kabisa na mzigo wangu nikaambiwa utakuja Tanzania baada ya siku 3. Na nasikia mzigo wako unaweza ukachanywa vikaibiwa vitu ( ila haijawahi kunitokea) mara ya pili service ilikuwa nzuri na wapo on time . Ethiopia service zao nzuri ndani ya ndege ila airport yao tu Kwa ndege zinazoenda nchi za Africa kama huhudumiwi ipasavyo.tofauti na airport ya Kenya. Hiyo Ethiopia nilipanda muda kidogo uliopita maybe wamebadilika.
 
Bw./Bi. Kisukari. Asante kwa kuchangia. Majuzi mime panda KQ kuelekea LHR jamaa wamebadilika pengine baada ya kupata CEO (mzungu)...
 
Watanzania tuhamie Ethiopia airline hiyo ndo kampuni bora, na kwa trip fupi tuwe Wazalendo ATCL is there for us.
 
Hehe Sebastian mikosz a Kenyan? Ngunze and naikuni yes..
1. Naikuni na Ngunze waliwapa "michepuko" ya kusupply bidhaa na huduma KQ wakawa wanainflate bei hatari.
2. Ndoa na KLM inawamaliza mchana peupe (KLM bado anakomaa/anashindana na KQ kwenye lucrative routes.
 
Nairobee hadi London baby[emoji3] [emoji191] [emoji109]
Mt Kenya kwa umbali yaonekana

Skiza miziki ya kiafrika taratiiib[emoji445] [emoji196]

Business travellers

Somewhere over Egypt baby, home of pharaohs[emoji63]
 
Ethiopian ni nzuri,ila pale Addis Ababa ukiwa unasubiri kubadili ndege ni shida.Vyoo havitoshi foleni.Nilisafiri na watoto mara moja sitarudia tena.Ethiopians ni nzuri ukisafiri First Class as utakuwa VIP lounge kusubiri connection..
 
1. Naikuni na Ngunze waliwapa "michepuko" ya kusupply bidhaa na huduma KQ wakawa wanainflate bei hatari.
2. Ndoa na KLM inawamaliza mchana peupe (KLM bado anakomaa/anashindana na KQ kwenye lucrative routes.
I agree, hatuwezi kuwa na partnership nao then compete for customers here in Africa, ndo maana in the latest Agm held last week hilo jambo liliangaziwa na a way forward will be out soon. Katika mpango mzima shareholding yao ndani ya kampuni lazima tui dilute.
Banks to replace KLM in list of top KQ shareholders
 
Ndio mmboreshe "kwenyu" pia muache kuajiri watu kwa ukabila halafu zile dreamliner mlizouza/azima Oman Air zirudi. Niliwahi panda from Dreamliner NBO-JHB full rahaaa
 
Marubani wetu nguli wa hizi kazi wanafaidi ohooo...cabin crew wa hatereee[emoji109] [emoji191] [emoji125]
 
1academ tarehe 26.10 kura kwa UHURUTO achaneni na wazee vichaaa
 
Ndio mmboreshe "kwenyu" pia muache kuajiri watu kwa ukabila halafu zile dreamliner mlizouza/azima Oman Air zirudi. Niliwahi panda from Dreamliner NBO-JHB full rahaaa
Dreamliner zipo za kutosha ndugu, moja hio juzi kati ilikuwa inakatiza angani hadi Charles De gaule airport kule ufaransa

 
Pata menu ya ukweli ndani ya kq baby, kitimoto pia kipo kwa wateja wetu 'makafiri', mashirika mengine wanapeana njugu tu, ila sitawataja[emoji3][emoji3]
 
Aisee dah maegesho yetu yamejaaa midege, hivi karibuni sijui tutaegesha majumbani kwetu ama vipi[emoji2] [emoji109] [emoji196]
 
Bombardie ipi ndugu? Wacanada si watu asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…