Hapa hamna cha kudebate ni gani iko juu, iko wazi. Na mada kama hili sisi tutakuwa wapole.Wajuvi wa mambo mliokwea hizo ndege nani zaidi kati ya ET vs KQ katika nyanja zifuatazo;
1. Reliable & Convinient booking system (including payment mode = mobile money, Credit card, CASH/local or foreign currency).
2. Kwenda na muda (wasioendekeza frequent cancellation, delays)
3. Ground Staff
4. Inflight services (First Aid, Entertainment, Meals)
5. Transfer Desk (Hotel in case of long layover)
6. Luggage handling.
Nia ni kuboresha shirika letu la ndege Air Tanzania, si kubeza wenzetu mliotutangulia
hakuna utofauti kubwa sana kati ya hizi airline mbili...ndio, ET inaongoza ila sio sana...pengine useme TZ airlines ndio mtoto sana ...infact nikama mtoto aliyezaliwa dakika chache tu ukilinganisha na magwiji hawa Kq na ET...Kq bado mtoto sana Kwa Et.kwanza kq yenyewe INA milikiwa na KLM
Kq ni losers tu Hanna jipya hapo ukiwaondoa KLM ambao ndio wanaibeba kq .hakuna utofauti kubwa sana kati ya hizi airline mbili...ndio, ET inaongoza ila sio sana...pengine useme TZ airlines ndio mtoto sana ...infact nikama mtoto aliyezaliwa dakika chache tu ukilinganisha na magwiji hawa Kq na ET...
Wahabesh achana nao. Unaweza kukaa Addis Masaa mengi bila connection. Kwenye connection they are worseHapa nadhani Ethiopia itakua superior though am kenyan....wacha nifuatilie thread nijifunze
KQ haimilikiwi na KLM, ni hisa ndo wanamiliki huko. Lakini kampuni ni ya KenyaKq bado mtoto sana Kwa Et.kwanza kq yenyewe INA milikiwa na KLM
Umesahau na uchafu, Ethiopian airlines [emoji574] wachafu sana. Kama upo ubungo terminalWahabesh achana nao. Unaweza kukaa Addis Masaa mengi bila connection. Kwenye connection they are worse
Nyinyi ndio mnashinda mkitroll everything kenya is doing yet yours are worse,seriouslyKq ni losers tu Hanna jipya hapo ukiwaondoa KLM ambao ndio wanaibeba kq .
Ukweli mchungu [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji3] ulitaka tusifie upuuzi .ukweli ni kwamba Et wako mbali sana huwezi fananisha na kqIts very suprising how most tanzanians troll everything thing kenya has and is good at, niliambiwa waswahili wana wivu saii nimekubali,they are like those neighbours who when yoy get blessed they go to the witchdoctors
Kq na Ea ni one of the best airlines in africa.....yenyu je?Ukweli mchungu [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji3] ulitaka tusifie upuuzi .ukweli ni kwamba Et wako mbali sana huwezi fananisha na kq