Ethiopian Airlines vs Kenya Airways

Ethiopian Airlines vs Kenya Airways

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Wajuvi wa mambo mliokwea hizo ndege nani zaidi kati ya ET vs KQ katika nyanja zifuatazo;
1. Reliable & Convinient booking system (including payment mode = mobile money, Credit card, CASH/local or foreign currency).
2. Kwenda na muda (wasioendekeza frequent cancellation, delays)
3. Ground Staff
4. Inflight services (First Aid, Entertainment, Meals)
5. Transfer Desk (Hotel in case of long layover)
6. Luggage handling.
Nia ni kuboresha shirika letu la ndege Air Tanzania, si kubeza wenzetu mliotutangulia
 
Lakini mashirika hayo mawili Kenya airways na the Ethiopian ni mashirika makubwa barani afrika ukizingatia Lila aina ya ndege zipo kuanzia boening 707,727,737 old model and new na 767,757,na 777 isipokuwa 747 ndo hawana na upande Wa Pili air bus 320 wore wanazo!na as tumeanza na bonbadier na tunaendelea na boening 787!
 
Wajuvi wa mambo mliokwea hizo ndege nani zaidi kati ya ET vs KQ katika nyanja zifuatazo;
1. Reliable & Convinient booking system (including payment mode = mobile money, Credit card, CASH/local or foreign currency).
2. Kwenda na muda (wasioendekeza frequent cancellation, delays)
3. Ground Staff
4. Inflight services (First Aid, Entertainment, Meals)
5. Transfer Desk (Hotel in case of long layover)
6. Luggage handling.
Nia ni kuboresha shirika letu la ndege Air Tanzania, si kubeza wenzetu mliotutangulia
Hapa hamna cha kudebate ni gani iko juu, iko wazi. Na mada kama hili sisi tutakuwa wapole.

Angalieni Ethiopia, na makampuni zingine zinazozidi Ethiopia kama benchmark yenyu mkitaka kufufua hilo shirika yenyu.

KQ imefanya makosa mengi na pia ina changamoto si haba, ni bahati tu haijaporomoka, lakn they are trying to patch things up. Kenya Airways may be a good example of how not to run an airline.
 
We debate with facts on ground Ethiopia airways imezidi Kenya airways, 2012 I was at their airport they had like 7 boeing 787s that were parked I dont know what they were waiting for,
 
these are one of the Best Airlines in Africa but Ethiopian airlines has an upper hand on this one....SA airways, Ethiopian Airways, Egyptir, Air Mauritius and Kenya Arways are the top....then there is Air Maroc of Morrocco and Seychelles Arlines..
 
hakuna utofauti kubwa sana kati ya hizi airline mbili...ndio, ET inaongoza ila sio sana...pengine useme TZ airlines ndio mtoto sana ...infact nikama mtoto aliyezaliwa dakika chache tu ukilinganisha na magwiji hawa Kq na ET...
Kq ni losers tu Hanna jipya hapo ukiwaondoa KLM ambao ndio wanaibeba kq .
 
Binafsi hayo mashirika yote mawili nayaona ni ya kawaida tu,
Lakini kwenye huduma Ethiopian wana nafuu kidogo, japo kama mtu akiniomba ushauri wa ndege ya kupanda hizi zote mbili siwezi kumshauri kabisa
 
Its very suprising how most tanzanians troll everything thing kenya has and is good at, niliambiwa waswahili wana wivu saii nimekubali,they are like those neighbours who when yoy get blessed they go to the witchdoctors
 
Ukweli mchungu [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji3] ulitaka tusifie upuuzi .ukweli ni kwamba Et wako mbali sana huwezi fananisha na kq
 
Ukweli mchungu [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji3] ulitaka tusifie upuuzi .ukweli ni kwamba Et wako mbali sana huwezi fananisha na kq
Kq na Ea ni one of the best airlines in africa.....yenyu je?
 
Back
Top Bottom