Huwa nawaeleza humu Ethiopian Airline huwa subsidized na serikali na pia hawaweki wazi detailed financial reports.Its hard for KQ to compete with an airline that is fully subsidized by the government..
Its like those Middle Eastern Airlines kila kukicha serikali zao zina pump so much money into them zinakua sio biashara huria tena bali projects za kiserikali.
Zikiachwa zijiendeshe kwa biashara ya kweli loss and profit zitazama taratibu.
Juzi tu Muungano wa mashirika ya biashara za anga yaliyalalamikia sana haya mashirika ya ndege ya Mashariki ya Kati.
Its true you cannot compete with someone pumping public money in a business when you are relying on clean pure capitalistic business to break even.
Ethiopian nimesafiri nao sana, niwachafu kweli kweli na madege yao mengi ni zee na kuukuu ndani.
Entertainment ni sufuri, vyakula vibovu ila afueni yao ni huwa bei zao ni rahisi ukilinganisha na KQ.
Nafikiri KQ hutoza nauli ghali kwasababu ya huduma wanazotoa , tena huduma za kimataifa kabisa utafikiri ni shirika la bara Uropa.
Nadhani kwa sababu ya washirika wao KLM.
Tena wana aina nyingi sana ya mvinyo na viburudisho .