Ungetuambia sasa kile unadhani ni bora kwenye kq instead of kulalamikaIts very suprising how most tanzanians troll everything thing kenya has and is good at, niliambiwa waswahili wana wivu saii nimekubali,they are like those neighbours who when yoy get blessed they go to the witchdoctors
Its hard for KQ to compete with an airline that is fully subsidized by the government..Wajuvi wa mambo mliokwea hizo ndege nani zaidi kati ya ET vs KQ katika nyanja zifuatazo;
1. Reliable & Convinient booking system (including payment mode = mobile money, Credit card, CASH/local or foreign currency).
2. Kwenda na muda (wasioendekeza frequent cancellation, delays)
3. Ground Staff
4. Inflight services (First Aid, Entertainment, Meals)
5. Transfer Desk (Hotel in case of long layover)
6. Luggage handling.
Nia ni kuboresha shirika letu la ndege Air Tanzania, si kubeza wenzetu mliotutangulia
I think kitu bora ni u stop ur hatin n concetrate on reviving ur buried airline,u cant speak ill of someone uve never been close toUngetuambia sasa kile unadhani ni bora kwenye kq instead of kulalamika
Kama yetu ni upuzi yanyu ni nini,kwasababu hata shirika la ndege lenyu likufa kitamboUkweli mchungu [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji3] ulitaka tusifie upuuzi .ukweli ni kwamba Et wako mbali sana huwezi fananisha na kq
Sio hate ni factI think kitu bora ni u stop ur hatin n concetrate on reviving ur buried airline,u cant speak ill of someone uve never been close to
HaterSio hate ni fact
Ati hamna tofauti? [emoji85] When was the last time KQ made profit?hakuna utofauti kubwa sana kati ya hizi airline mbili...ndio, ET inaongoza ila sio sana...pengine useme TZ airlines ndio mtoto sana ...infact nikama mtoto aliyezaliwa dakika chache tu ukilinganisha na magwiji hawa Kq na ET...
wasela wa mapangaboi😱Kq ni losers tu Hanna jipya hapo ukiwaondoa KLM ambao ndio wanaibeba kq .
Latest reports hizi hapa, Jisomee mwenyewe.Mwenye Audited Financial Report Report aiweke hapa
chafu kushinda airport ipi? be specific nduguIla ET wana aiport chafu sana pale Addis
Chini ya Utawala wa Mkuu wa Mkoa, Air Dar, sorry, Air Tanzania itaruka mpaka JFK mara 7 kwa wikiWote wanajitahidi.. biashara ya Airline Afrika ni biashara kichaa.. inahitaji kuwa na moyo wa chuma kuifanya, miundombinu mibovu na vipato vidogo vya watu vinasababisha biashara kuwa ngumu sana.
So kwa nchi kama Kenya, Rwanda na hata Tanzania kuwa kwenye hii biashara ni jambo la pongezi sana maana mikikimikiki ya hii biashara sio ya kitoto.. Ethiopian airlines wana upper hand kwa sababu ya strong government support toka ilipoanzishwa.
Ila KQ na Ethiopian wanastahili pongezi regardless ya shida wanazopitia sasa hivi. Air Tanzania wana mengi ya kujifunza na wala wasiende kichwakichwa mwishoni tukaja kugawana mbao.
How soon so u think that will happen?Chini ya Utawala wa Mkuu wa Mkoa, Air Dar, sorry, Air Tanzania itaruka mpaka JFK mara 7 kwa wiki
Talk za Airline na Geza tuliwacha venye Fastjet ilitoka kenyaAti hamna tofauti? [emoji85] When was the last time KQ made profit?