Ethiopian Airlines vs Kenya Airways

Ethiopian Airlines vs Kenya Airways

Its very suprising how most tanzanians troll everything thing kenya has and is good at, niliambiwa waswahili wana wivu saii nimekubali,they are like those neighbours who when yoy get blessed they go to the witchdoctors
Ungetuambia sasa kile unadhani ni bora kwenye kq instead of kulalamika
 
Wote wanajitahidi.. biashara ya Airline Afrika ni biashara kichaa.. inahitaji kuwa na moyo wa chuma kuifanya, miundombinu mibovu na vipato vidogo vya watu vinasababisha biashara kuwa ngumu sana.

So kwa nchi kama Kenya, Rwanda na hata Tanzania kuwa kwenye hii biashara ni jambo la pongezi sana maana mikikimikiki ya hii biashara sio ya kitoto.. Ethiopian airlines wana upper hand kwa sababu ya strong government support toka ilipoanzishwa.

Ila KQ na Ethiopian wanastahili pongezi regardless ya shida wanazopitia sasa hivi. Air Tanzania wana mengi ya kujifunza na wala wasiende kichwakichwa mwishoni tukaja kugawana mbao.
 
Wajuvi wa mambo mliokwea hizo ndege nani zaidi kati ya ET vs KQ katika nyanja zifuatazo;
1. Reliable & Convinient booking system (including payment mode = mobile money, Credit card, CASH/local or foreign currency).
2. Kwenda na muda (wasioendekeza frequent cancellation, delays)
3. Ground Staff
4. Inflight services (First Aid, Entertainment, Meals)
5. Transfer Desk (Hotel in case of long layover)
6. Luggage handling.
Nia ni kuboresha shirika letu la ndege Air Tanzania, si kubeza wenzetu mliotutangulia
Its hard for KQ to compete with an airline that is fully subsidized by the government..
 
Ungetuambia sasa kile unadhani ni bora kwenye kq instead of kulalamika
I think kitu bora ni u stop ur hatin n concetrate on reviving ur buried airline,u cant speak ill of someone uve never been close to
 
Ukweli mchungu [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji3] ulitaka tusifie upuuzi .ukweli ni kwamba Et wako mbali sana huwezi fananisha na kq
Kama yetu ni upuzi yanyu ni nini,kwasababu hata shirika la ndege lenyu likufa kitambo
 
hakuna utofauti kubwa sana kati ya hizi airline mbili...ndio, ET inaongoza ila sio sana...pengine useme TZ airlines ndio mtoto sana ...infact nikama mtoto aliyezaliwa dakika chache tu ukilinganisha na magwiji hawa Kq na ET...
Ati hamna tofauti? [emoji85] When was the last time KQ made profit?
 
Ethiopian Airlines is the biggest in Africa. Has more planes than any other African airline. Also flies to the most destinations in the world
 
Ina depend unauliza kama nani? Unauliza kama mwekezaji, au mwenye anataka kukagua biashara (business model) ama unauliza kama abiria? Manake kama ni mwekezaji basi Et iko mbele, lakini kama ni abiria tofauti hamna, KQ na mashaka yake yote bado ineshinda mara mbili tuzo la most punctual airline, pale Heathrow London... Tena isitoshe KQ kwa miaka mitatu mfululizo imeshinda Business class airline of the year in Africa na pia mara nne mfululizo imeshinda kwa category ya mizigo kama Cargo airline of the year.. Ethiopia nayo inashikilia kwa economy class
 
Ethiopia labda business class ila haya madaraja ya kajamba nani, mamamamamaaa ni wachafuu balaa ni kama upo kwenye flying ngorika,
kwenye toilet pale Addis Airport ptuuuuuu hapafai wahabesh ni wachafuu wanachuana na rafiki zao wakeii
 
Wote wanajitahidi.. biashara ya Airline Afrika ni biashara kichaa.. inahitaji kuwa na moyo wa chuma kuifanya, miundombinu mibovu na vipato vidogo vya watu vinasababisha biashara kuwa ngumu sana.

So kwa nchi kama Kenya, Rwanda na hata Tanzania kuwa kwenye hii biashara ni jambo la pongezi sana maana mikikimikiki ya hii biashara sio ya kitoto.. Ethiopian airlines wana upper hand kwa sababu ya strong government support toka ilipoanzishwa.

Ila KQ na Ethiopian wanastahili pongezi regardless ya shida wanazopitia sasa hivi. Air Tanzania wana mengi ya kujifunza na wala wasiende kichwakichwa mwishoni tukaja kugawana mbao.
Chini ya Utawala wa Mkuu wa Mkoa, Air Dar, sorry, Air Tanzania itaruka mpaka JFK mara 7 kwa wiki
 
Ethiopia airlines started in 1945
Kenya then EAA started in 1946 with help of UK Ethiopia and SAA
 
Ati hamna tofauti? [emoji85] When was the last time KQ made profit?
Talk za Airline na Geza tuliwacha venye Fastjet ilitoka kenya

Ulikaa hapa 2012,13,14,15 ukizusha jinsi Kenya haiwachii fastjet opportunity ya kucompete na KQ kuwa eri fastjet ikiingia kenya itaangusha KQ ....Haya basi 2016 fastjet ikaingia Kenya haikukaa hata miezi sita kabla ife

NYAMASAAAA.....NKT...
Blarey fool ....kila saa uko hapa kupinga facts alafu tunawaste time kukupa facts by the time inakuwa relevant(said facts) kila mtu asha move on from that story

Well

Lappset is happening.
Sgr is complete
KQ is still alive
Fastjet is dead
Kenya is now 26bn$ infront of TZ
Trump hasnt sanctioned kenya

Etc i could go on about the various debates unatuweka hapa but wacha niachie hapo nawewe kanyamaze NYAMASA!! wtf is this u tryin!!....
Hautawai shinda debat hapa kujisu econ growth ya kenya!!
 
Back
Top Bottom