Ethiopian Airlines vs Kenya Airways

Ethiopian Airlines vs Kenya Airways

hakuna utofauti kubwa sana kati ya hizi airline mbili...ndio, ET inaongoza ila sio sana...pengine useme TZ airlines ndio mtoto sana ...infact nikama mtoto aliyezaliwa dakika chache tu ukilinganisha na magwiji hawa Kq na ET...
Hivi kq bado inapitia changamoto au iko stable now?
 
Back
Top Bottom