Eti anataka mahari milioni 1.5

Ya kawaida sana hiyo na mahali sio malipo ya bidhaa hivyo inazungumzika na hailipwi yote.. Kama umempenda mtafute mkakamilishe jambo hilo jema.. Ndoa ni ibada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawashangaa wanaume wa kataa ndoa, ndio hao baadae watataka waoe hata vichaa ili wasitirike kipindi cha magonjwa yanayohitaji kuhudumiwa na mke🚮
Mwanaume hana pressure ya ndoa kama mlionayo nyie wanawake usifikiri misukumo yenu na kwa mwanaume ipo.

Halafu fahamu kuwa ndoa sio jambo la kustiriana akili za wapi hizi.

Nyie wanawake mkisha olewa tayari maisha mlisha maliza hiyo mentality mnayo nyie wenyewe sio wanaume
 
Kama una nia nae kabisa piga mimba. Utamshusha shobo zote yeye na wazazi wake.
Mahari top itaporomoka hadi laki kadhaa
 
Safi sana, kwanza unatoa hiyo pesa iliyobatizwa jina la mahari kwajili ya nini???

Nchi masikini kama hii ambayo kijana anakabiliwa na ugumu wa maisha unatoa pesa kwajili ya kufurahisha watu.

Isipokuwepo hiyo biashara mnayoiita mahari nini kitatokea?
Hamtazaa?
Hamtapendana?
Mtaachana?

Wafu wanaendelea kuwazika wafu wao...
 
1.5 unakimbia bro?🤣

yesu wangu
 
Mjinga sana wewe. What's 1.5 m?
 
Nawashangaa wanaume wa kataa ndoa, ndio hao baadae watataka waoe hata vichaa ili wasitirike kipindi cha magonjwa yanayohitaji kuhudumiwa na mke🚮
wanachangamsha genge tu,

watu ambao hawajaoa kwa makusudi ni wachache sana
 
mahari sio mahali!!!!!!!!
 
toa mahari, ndo mila za tz

kupata mke ambae hatolewi mahari ni ngumu

toa tu, kwani hata ukishamuoa si utakuwa unamtunza? mwanaume kaza
 
Taykuni kama taykun
 
Hahahahah teh teh teh tehteh tehteh we bhana kaza wasikuyumbishe hao raia......au kama vipi piga mimba fasta mahali itashuka mpaka laki amini ivo mtu wangu ohoo
 
[emoji3][emoji3] 1.5m tabora napata zaidi ya heka Tano tayari kwa kilimo Cha mpunga mwezi wa 11.

Nyingi sana kwa upande wangu siwezi
Safi sana. Tukiwa na kizazi kama hiki lazima Tanzania iendelee.
Hakuna kuwekeza kwenye mapenzi wakati wanawake wenyewe wanachokupa ni K tu.
Unatumia gharama nyingi halafu mnaachana au kanagongwa nje.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa ulitaka umchukue bure
Wacha kukimbia majukumu oa mkuu kuudumia mwanaume na kulala uchi kila sku ni kaz kua na huruma kufunguliwa mlango usku ukiwa ushapiga vyako na bado unataka mzgo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…