Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ya kawaida sana hiyo na mahali sio malipo ya bidhaa hivyo inazungumzika na hailipwi yote.. Kama umempenda mtafute mkakamilishe jambo hilo jema.. Ndoa ni ibadaKuna kibidada Leo nimekiacha asubuhi kimeniambia tumekuwa kwenye mahusiano muda sasa.
So kinataka nikioe so niende kwao na 1.5m kama mahali bado gharama za harusi..
Nimekiambia kitafute mwanaume wa kuoa kiachana na mimi!
Ntachelewa sana kuoa 😀
Sent using Jamii Forums mobile app