Eti anataka mahari milioni 1.5

Watibeli hatutoi mahari🤣
 
Aliekuzaaa wewe alikuwa na thamani Gani kwnza??? Au ndio mpaka Leo anadeni??
kwani mwanamke thamani yake ipo kwa fedha/vitu?
mwanamke wa 2ml. ni bora zaidi ya wa laki na nusu?
 
Mtibeli mbona umeongea kwa uchungu Sana 😂😂😂🤣🤣🤣🤣
 
kwanini usimpe laki 9,,,,laki 5 inayobaki muende honeymoon siku 3 hoteli ya kawaida mle kuku na mnywe mvinyo mfurahie maisha
HIYO LAKI INAYOBAKI MTOE SADAKA KWA WASIOJIWEZA.
 
[emoji3][emoji3] 1.5m tabora napata zaidi ya heka Tano tayari kwa kilimo Cha mpunga mwezi wa 11.

Nyingi sana kwa upande wangu siwezi
me niliambiw million 1.6 nikatoa kilo 5 mpaka sasa nadaiwa na mke ninae wanasubil nife waje kudai msibani
 
Kuna watu wanaona 1.5M ni ndogo loh!
Hamkijua kipato cha pangu pakavu..

Mwanamke sio bidhaa mnunuliwe..
Achaneni na utamaduni wa kizmaani,we chukuliwa bure mkaanze maisha lasivyo wengi wanaishia kuwa single mama
 
Kuna watu wanaona 1.5M ni ndogo loh!
Hamkijua kipato cha pangu pakavu..

Mwanamke sio bidhaa mnunuliwe..
Achaneni na utamaduni wa kizmaani,we chukuliwa bure mkaanze maisha lasivyo wengi wanaishia kuwa single mama
 
ni kweli mkuu ndio maana kwa dini zetu za kiafrika mababu walioa wanawake wengi na sababu zilikuwa ni nguvu kazi na kuongeza idadi ya watoto/nguvu kazi nyingine. na ndio walikuwa wazalishaji ktk familia. mahari ilikuwa ni kubwa, walilipiwa mahari hadi ng"ombe 50. wengine hadi 100. hii ilikuwa na maana" tofauti na hawa wa sasa wanajiuza/wanauzwa wao kama wao tu, yaani unauziwa uchi wake tu na hana kingine cha kutoa zaidi ya kuhitaji matunzo kutoka kwa mwanaume

hawa wanawake wa sasaivi wengi wao sababu ya kulipishwa mahari kubwa haipo.
ukichunguza maisha ya wanandoa wengi utagundua ni mwanamke ndie hasa alitakiwa alipe mahari ili kuingia kwenye matunzo/ usimamizi wa mwanaume. au wazazi wa mwanamke wawe wanalipa fidia kwa mwanamme anaeishi na binti yao kama asante kwa kumtunza binti yao.

ukiongelea pesa ni lazima bei ifanane na thamani ya bidhaa vinginevyo umepigwa...
 
Nimeuliza kuhusu mama yako sio wewe. Unajua kusoma kiswahili ?
Itakuwa una matatizo siyo bure,kama unauliza mambo ya mwaka themanini(nakukumbusha tu mahari haijaanza leo hata yeye alitolewa kwa thamani ya hela ya kipindi kile),na kwa nini iwe mama yangu wakati mimi nipo,tafuta hela acha makasiriko dogo,usirudie kumtaja mama yangu kwenye upuuzi wako

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndio unaleta makasiliko kwenye Uzi!
Taja kama hakuolewa kwa 25k[emoji16]
 
Bado hujajibu swali. Mama yako ni wewe ? Haya jibu swali lile nililo kuuliza sitaki kujua chochote kuhusu wewe bali mama yako.
 
Mwenyewe ni mpinga mahari mkubwa sana, unalipia mahari kwa ajili ya kitu kishakutana na kuharibiwa huko? Hapa wanaume hatutendewi haki hata kidogo.

Mahari is for the purity, hata hivyo 1.5m ni reasonable amount.
 
Inategema thamani ya mwanamke na maeneo yetu ya asili..Hiyo ni mahali ndogo kwa maeneo, ila kuna maeneo hata msimbazi wawili unaondoka na mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…