Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watibeli hatutoi mahari🤣Ungemwambia wewe unatakaje?
Mjadili na mfikie maafikiano pamoja.
Lakini ikiwa Mwanaume unawaza kama mtoto asiye na Akili ni Bora huyo dada amejinasua mapema na Mwanaume mjinga.
Kama wewe ni wale wasiotoa Mahari kama Sisi Watibeli basi ni vizuri ungempa hoja zako kuu kisha mzijadili Kwa pamoja na huyo mchumbaako, kisha atakayeshinda Kwa hoja zenye mashiko ndio mnachukua huo uamuzi kama uamuzi wa wote (ninyi)
Kama Mahari ni kubwa pia mngejadili kuwa uwezo wako ni kiwango Fulani, na utoe Sababu zenye mashiko.
Ni Bora Mwanamke abaki kuwa single au awe Kahaba na kujiuza Kwa wanaume wenye Pesa au wenye Akili kuliko kuwa na Mwanaume Mpumbavu
kwani mwanamke thamani yake ipo kwa fedha/vitu?Aliekuzaaa wewe alikuwa na thamani Gani kwnza??? Au ndio mpaka Leo anadeni??
Ndio nn sasa?kwani mwanamke thamani yake ipo kwa fedha/vitu?
mwanamke wa 2ml. ni bora zaidi ya wa laki na nusu?
Mtibeli mbona umeongea kwa uchungu Sana 😂😂😂🤣🤣🤣🤣Ungemwambia wewe unatakaje?
Mjadili na mfikie maafikiano pamoja.
Lakini ikiwa Mwanaume unawaza kama mtoto asiye na Akili ni Bora huyo dada amejinasua mapema na Mwanaume mjinga.
Kama wewe ni wale wasiotoa Mahari kama Sisi Watibeli basi ni vizuri ungempa hoja zako kuu kisha mzijadili Kwa pamoja na huyo mchumbaako, kisha atakayeshinda Kwa hoja zenye mashiko ndio mnachukua huo uamuzi kama uamuzi wa wote (ninyi)
Kama Mahari ni kubwa pia mngejadili kuwa uwezo wako ni kiwango Fulani, na utoe Sababu zenye mashiko.
Ni Bora Mwanamke abaki kuwa single au awe Kahaba na kujiuza Kwa wanaume wenye Pesa au wenye Akili kuliko kuwa na Mwanaume Mpumbavu
Sikutaka niende mbali kwa bi mkubwa wakati mimi mwenyewe ni good referenceNadhani swali lilikua kwa bi mkubwa...
me niliambiw million 1.6 nikatoa kilo 5 mpaka sasa nadaiwa na mke ninae wanasubil nife waje kudai msibani[emoji3][emoji3] 1.5m tabora napata zaidi ya heka Tano tayari kwa kilimo Cha mpunga mwezi wa 11.
Nyingi sana kwa upande wangu siwezi
Kuna watu wanaona 1.5M ni ndogo loh!
Hamkijua kipato cha pangu pakavu..
Mwanamke sio bidhaa mnunuliwe..
Achaneni na utamaduni wa kizmaani,we chukuliwa bure mkaanze maisha lasivyo wengi wanaishia kuwa single mama
ni kweli mkuu ndio maana kwa dini zetu za kiafrika mababu walioa wanawake wengi na sababu zilikuwa ni nguvu kazi na kuongeza idadi ya watoto/nguvu kazi nyingine. na ndio walikuwa wazalishaji ktk familia. mahari ilikuwa ni kubwa, walilipiwa mahari hadi ng"ombe 50. wengine hadi 100. hii ilikuwa na maana" tofauti na hawa wa sasa wanajiuza/wanauzwa wao kama wao tu, yaani unauziwa uchi wake tu na hana kingine cha kutoa zaidi ya kuhitaji matunzo kutoka kwa mwanaumeNdoa ni UTAPELI kuanzia hizo process za POSA na MAHARI utapeli unaanzia hapo. Umejionea?
Kataa Ndoa. Ndoa ni wizi.
Wenzio wamemtombesha bure bure wewe unaenda kuuziwa kwa 1.5 huku interest rate inapanda kwa matumizi INDIRECTLY ya kila siku kwake na kwa UKOO wake.
Itakuwa una matatizo siyo bure,kama unauliza mambo ya mwaka themanini(nakukumbusha tu mahari haijaanza leo hata yeye alitolewa kwa thamani ya hela ya kipindi kile),na kwa nini iwe mama yangu wakati mimi nipo,tafuta hela acha makasiriko dogo,usirudie kumtaja mama yangu kwenye upuuzi wakoNimeuliza kuhusu mama yako sio wewe. Unajua kusoma kiswahili ?
Wewe ndio unaleta makasiliko kwenye Uzi!Itakuwa una matatizo siyo bure,kama unauliza mambo ya mwaka themanini(nakukumbusha tu mahari haijaanza leo hata yeye alitolewa kwa thamani ya hela ya kipindi kile),na kwa nini iwe mama yangu wakati mimi nipo,tafuta hela acha makasiriko dogo,usirudie kumtaja mama yangu kwenye upuuzi wako
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Bado hujajibu swali. Mama yako ni wewe ? Haya jibu swali lile nililo kuuliza sitaki kujua chochote kuhusu wewe bali mama yako.Itakuwa una matatizo siyo bure,kama unauliza mambo ya mwaka themanini(nakukumbusha tu mahari haijaanza leo hata yeye alitolewa kwa thamani ya hela ya kipindi kile),na kwa nini iwe mama yangu wakati mimi nipo,tafuta hela acha makasiriko dogo,usirudie kumtaja mama yangu kwenye upuuzi wako
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app