Eti anataka mahari milioni 1.5

Eti anataka mahari milioni 1.5

Kuna kibidada Leo nimekiacha asubuhi kimeniambia tumekuwa kwenye mahusiano muda sasa.

So kinataka nikioe so niende kwao na 1.5m kama mahali bado gharama za harusi..

Nimekiambia kitafute mwanaume wa kuoa kiachana na mimi!

Ntachelewa sana kuoa 😀
Huyu ni Dr kabisaa au ni ile ya Dr Remmy
 
Kuna kibidada Leo nimekiacha asubuhi kimeniambia tumekuwa kwenye mahusiano muda sasa.

So kinataka nikioe so niende kwao na 1.5m kama mahali bado gharama za harusi..

Nimekiambia kitafute mwanaume wa kuoa kiachana na mimi!

Ntachelewa sana kuoa 😀
Sasa hiyo si nauli tuuu kuleta ndugu siku mahari....wewe uko serious au unatàka kulelewa ??.....ongsa 5m plus 1mil? Wewe mume kweli ??
 
Back
Top Bottom