Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Yeuwiiii....mbona dogo kashapoteza mwelekeo huyo???
Bujibuji huyo dogo mwonekano wake umekaaje ni mrembo kidogo yaani features zake hazijakaa kiume?
Mtoto wa jirani yangu anasoma form II, kaiba laptop ya baba yake, dola 3,500/=, shilingi milioni moja na laki saba.
Baba yake kagundua, kam'bana na kumsindilia kichapo. Dogo kasema kuwa eti nataka kwenda South Africa akafanyiwe upasuaji awe mwanamke.
Baba yake kusikia hivyo presha zikampanda akaanguka na kuzimia
eeh mola msamehe mja wakoMtoto wa jirani yangu anasoma form II, kaiba laptop ya baba yake, dola 3,500/=, shilingi milioni moja na laki saba.
Baba yake kagundua, kam'bana na kumsindilia kichapo. Dogo kasema kuwa eti nataka kwenda South Africa akafanyiwe upasuaji awe mwanamke.
Baba yake kusikia hivyo presha zikampanda akaanguka na kuzimia
Mtoto wa jirani yangu anasoma form II, kaiba laptop ya baba yake, dola 3,500/=, shilingi milioni moja na laki saba.
Baba yake kagundua, kam'bana na kumsindilia kichapo. Dogo kasema kuwa eti nataka kwenda South Africa akafanyiwe upasuaji awe mwanamke.
Baba yake kusikia hivyo presha zikampanda akaanguka na kuzimia
Influence za bwana Cameron hizo! Sio mwanao kweli?Mtoto wa jirani yangu anasoma form II, kaiba laptop ya baba yake, dola 3,500/=, shilingi milioni moja na laki saba.
Baba yake kagundua, kam'bana na kumsindilia kichapo. Dogo kasema kuwa eti nataka kwenda South Africa akafanyiwe upasuaji awe mwanamke.
Baba yake kusikia hivyo presha zikampanda akaanguka na kuzimia
Influence za bwana Cameron hizo! Sio mwanao kweli?
ana macho mazuri sana, na sura nzuri kuliko za dada zake