Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mtoto wa jirani yangu anasoma form II, kaiba laptop ya baba yake, dola 3,500/=, shilingi milioni moja na laki saba.
Baba yake kagundua, kam'bana na kumsindilia kichapo. Dogo kasema kuwa eti nataka kwenda South Africa akafanyiwe upasuaji awe mwanamke.
Baba yake kusikia hivyo presha zikampanda akaanguka na kuzimia