Wachangiaji wa jamiiforum mimi ningeomba tujadili hili ktk mtazamo chanya maana kama tunajuwa umuhim wa vipaji vya watu wetu basi diamond yatupasa kuona siku za mbeleni hatokuwepo. Huu ni Zaidi ya ujasusi kama sio ugaidi kijana huyu ambaye bado mbichi na alie toka ktk hali ngumu ya maisha ameingia kwenye bahari ya matumizi na mwanamke ambaye sio wake, asie kuwa hata na back ground ya mahusiano yoyote leo eti anasema mke wake tena anaanza kutumbuwa naye maisha jamani huu ni ugaidi mkubwa na kifo kisichokuwa na mfano wake ktk tasinia ya muziki, si kweli zari anachochote kipya anakifanya kwa diamond ila kutokana na maisha yake ya kule ametoka atataka kumchuma diamond ktk way ya mchezo wa tutusa.
Embutafakaini watanzania wenzangu na make mkijuliza nini kinaendekea kwa ktk maisha ya hawa wawili.
Ivan ktk maojianao kadhaa na vyombo vya habari Uganda amekuwa akimdharau diamond kama mtu asie jielewa na amedadia tren kwa mbele na anakiri zari ni wake na vigezo ni mali na watoto wao.
Zari ktk mahojiano kadhaa kwenye vipindi maalumu anakiri mali yake na ivan wameipata kwa shida na ivan ndio mume wake. ukiwa na bit za kutosha nenda you tube ujionee mwenyewe.
Hakuna mahali Either ivan au zari anamtukana mwenzake au kupeana talaka kumbuka hili sio jambo dogo maana utajiri wao ni mkubwa . jamaa wapo kimya wanaendelea na maisha pasipo vijembe wala matusi.
diamond alipokwenda Uganda alipighwa stop kuongelea mahusiano yake na zari tafuta mahali diamond anaongea lolote kuhusu zari akiwa Uganda uje unitukane. pia ipo video inaonyesha vile wapambe wa zari wakizuia vyombo vya habari kuongea na diamond.
Zari na Ivani wanamahusiano mazuri ya kibiashara na SA na kama ulikuwa hujuwi SA DNA kupima ni kama maduka ya urembo, yani haipo kama hapa kwetu kitu ambacho kinaweza kumfanya mtu kununua majibu, which means kwa ulugha lugha wa diamond lazima jamaa wanunue majibu kumficha ukweli maana kazi yao haija isha. wenye hekima tunasema mkemia mkuu wa Tz ndio angethibitisha ukweli kama kweli diamond Latifah ni wake au mbuzi kwa kigunia na kama ukitakajuwa ukweli Zari hawezi kubali hiyo kitu yupo tayari kukaa pembeni nakumuacha kijana anaisoma namba.
Last but not list upo uwezekano mkubwa Zari akatumika kummaliza kimziki Diamond au kuleta mshituko ktk tasinia ya mziki pale ataamua kuishi maisha yake nakumuacha diamond akilia hii ni siri ambayo wengi wetu ambao ni wachambuzi wa mambo tunasubiria kuona maana mapenzi ni game of war yakupasa kuwa makini sana na anayekupenda au unaye mpenda. Pia ni ukweli usio fichika kuwa shetani hana kitu cha bure never ever on earth.