Tetesi: Eti Baby Latifah sio wa Diamond

Tetesi: Eti Baby Latifah sio wa Diamond

Ujanja kujadili yasiyo wahusu....achana na MORO bora nikaishi SIMIYU na maisha yangu kuliko kung'ang'ania DAR kuunga unga.


We kinakuhusu nini hapa, mbona upo humu unaendeleza mjadala wa tangu jana? Btw Bora uendelee na maisha yako ya ku-defence huko huko Simiyu kuliko kuja Dar kukuungaunga na kutuletea gozigozi bure.
 
We kinakuhusu nini hapa, mbona upo humu unaendeleza mjadala wa tangu jana? Btw Bora uendelee na maisha yako ya ku-defence huko huko Simiyu kuliko kuja Dar kukuungaunga na kutuletea gozigozi bure.
Wenye DAR yao kimya tu wakuja mapovu kibao......
 
Hivi mwanaume rijali unaanza kujadili upuuzi utadhani umekua Shog.a! Mambo ya kisenge kabisa haya, mabwabwa kazini!!!!
 
daaaaaaaaah maskini nchi yangu inaangamia kiouuzi
 
Kiukweli Diamond kajichanganya sana kwa zali hatukatai alikuwa anatafuta kick zaidi kwa bosslady japo nae zari kaboostiwa sana na mond kujulikana ila very soon tutampoteza kijana huyu kwa wimbi la mawazo mana background ya zari ni kudate na mtu either famous sana au awe na pesa mno so diamond mziki wake watu wanauchoka atapotea na zari atabwaga na kutojiweka karibu nae hapo ndo kijana wetu ataona kwanini asingeoa mtoto maarafu wa hapa bongoland tu au kigoli ambae si famous? Kumbuka zari ana battle sana na wadada wa team wema ivo mond akifulia sidhani kama bongo land atapaweza kupakaaa
WE jamaa unashangaza kishenzi!! Yaani Diamond alikuwa anatafuta kick kwa Zari? Ni wangapi walikuwa wanamfahamu Zari kabla hajawa na Diamond? Yaani mtu maarufu atafute kick kwa mtu ambae hakuwa maarufu? Hivi umaarufu wa Zari ulifikia japo ule wa Wema? Halafu msipojishangaa ni sehemu moja tu! Kwanza ni kawaida sana kuona mapenzi yanadumu wiki moja na yanakufa kifo cha mende! Lakini watu kama nyie tangu muanze kupiga ramli za kwamba Zari atamkimbia Diamond ni tangu mwaka 2014 November na hii 2016! Yaani hamtaki kufahamu kwamba hata wakibwana hii leo, ni sawa na wengine ambao walianzisha mahusiano mwaka 2014 na leo wameshabwagana kitambo... hilo hamulioni!! Hamtaki hata kuona kwamba, ukimtoa Wema... nadhani Zari ndo mwanamke aliyedumu nae muda mrefu zaidi kwahiyo hata wakibwagana leo hamna cha ajabu!! Yaani siku wakiachana mtakuja na maneno "watu tulishasema....!" huku mkitaka kujivika nishani ya utabiri kumbe suala la kubwana kwa celebrities ni la kawaida zaidi kuliko kutobwagana!!
 
Unazidi kuwapa point 'wanaume wa mikoani' maana nina uhakika uko dar
Dar kila mtu ana smartphone, huyu jamaa atakuwa wa huko kwenu... kaanza ku-access smartphone kwa msaada wa Halotel.
 
Kitu kinanikera ktk wachangia wengi wanachuka híi habari kiumbea na majungu. Badala yakuichukua postive nakuona vile Diamond aweza saidiwa asije kuanguka uko mbelen na uwenda kuanza tumia dawa za kulevya. Mkumbuken familia ya Whitne ambapo mtoto na mama wamekufa ila chanzo mapenz. Tena nyuma ya pasia kuna siri kubwa ya mziki wake. Jaman cc bado wadogo sana. Umafya hatu uwezi. Diamond anaitaji msaada wakimawazo ili awe salama.
Tatizo lako we jamaa unaonekana umepata smartphone karibuni manake kila wakati unaleta habari ambazo unadhani mpya wakati watu washazijadili sana! Issue za Tiffa kwamba eti ni mtoto wa Ivan au Katunzi (najua siku si nyingi utakuja na habari za Katunzi) sio issue... hizo habari ni skrepa! Unachofanya wewe ni sawa na kuleta habari za Lowassa kujiunga CHADEMA!!

Halafu ona sasa... we mwenyewe kuweka link ukaona ndo umeleta bonge la NEWS wakati habari yenyewe ni ya tangu August 2015... lakini kwako wewe ni mpya! Si tu kwamba habari yenyewe ni ya tangu 2015 lakini ni habari iliyotokana na post ya Instagram ya mwanaume mwenye tabia kama zako aitwae Lawrence! Kutoka kwenye caption ya hiyo Instgram Post, ndipo hiyo blog ikatengeneza stori lakini wewe unataka kuonesha as if umeleta kitu cha ajabu kumbe is just a piece of written muasturbation from Instagram!!
Law.jpg
 
Una uhakika huyo unayemuita baba ni baba yako halisi?
 
Igweeeeeeee jamani mimi mleta taarifa baada yakupata ubuyu huu kutoka mitandao mingine siongezi wala sipunguzi ila ukitaka juwa ukweli omba diamond aje apime DNA bongo pale ocean road maana SA ndio king Ivan anamibiashara yake na huyo bi zari, jamani huu ni Zaidi ya mitikisiko, matusi sitaki pinga hoja kistaarabu kama ujuw English tafuta kazi ingine au tembelea hii web

Ivan Claims Fathering Zari's Baby - Oops



Baby Latifah and Ivan Semwanga

This was shortly followed by a contract worth over Shs83 million with a baby shop.



Who wouldn’t want to be a daddy to such a child?!

Well, we all know Tanzanian popstar, Diamond Platnumz as the father of the baby but hey, this may not be good news to the ‘Number One’ singer as someone else has come out claiming fathering Zari’s baby.
And guess who it is? Her ex, Ivan Ssemwanga, the father of Zari’s other children.
Semwanga’s young brother, King Lawrence came out Sunday and claimed that the child is Ivan’s.
“I am here chilling with Latifah’s father,” Lawrence captioned a photograph in which he is seen seated next to Ssemwanga.
This, to many seems like a joke but it should not be forgotten that after breaking up with a one Farouk Ssempala, Zari secretly went back to her children, at Ivan’s home.

But she was later busted staying secretly at Ivan’s home.
Though, she left in November, splitting with Ivan for a second time in a year.
It was at this time that she hooked up with Diamond.


Kuna watu yale mahusiano roho inawauma sna
 
Hivi unaanzaje kumdiscus mtu mpk kumuanzishia thread....daah..huna kazi..yn kabisaaa naweka bando naingia jf naanza kumdiscuss tiffa... asilimia kubwa ya watu wengi humu hao baba zenu mmesingiziwa...siri anaijua mamako...plz acha ufala
 
Tatizo lako we jamaa unaonekana umepata smartphone karibuni manake kila wakati unaleta habari ambazo unadhani mpya wakati watu washazijadili sana! Issue za Tiffa kwamba eti ni mtoto wa Ivan au Katunzi (najua siku si nyingi utakuja na habari za Katunzi) sio issue... hizo habari ni skrepa! Unachofanya wewe ni sawa na kuleta habari za Lowassa kujiunga CHADEMA!!

Halafu ona sasa... we mwenyewe kuweka link ukaona ndo umeleta bonge la NEWS wakati habari yenyewe ni ya tangu August 2015... lakini kwako wewe ni mpya! Si tu kwamba habari yenyewe ni ya tangu 2015 lakini ni habari iliyotokana na post ya Instagram ya mwanaume mwenye tabia kama zako aitwae Lawrence! Kutoka kwenye caption ya hiyo Instgram Post, ndipo hiyo blog ikatengeneza stori lakini wewe unataka kuonesha as if umeleta kitu cha ajabu kumbe is just a piece of written muasturbation from Instagram!! View attachment 333168
Ushambaaaax dotcom...hizi mchina zimeleta mambo...tcra wadhibiti mitandao ya kijamii km china khaaa tumechokana vilaza km hawa
 
Washinda vibarazani ya wenzako kuropokaaa
Kwa kuwa umemuona Fulani ona usoo
ulivyokukobokaaa
Sio mwisho vibaoni adi kwenye vigodoroo
Usio na haya usoni kote wazua migogoroo
Ivi wewe haujioni kuwa unakasoroo
Uso mchana jioni si wajuz si 2moro
Sio mwisho vibaoni kwenye vigodoroo
Usio na haya usoni kote wazua migogoroo
Ivi wewe haujioni kuwa unakasoroo


Maneno ya Chibu dangote/Baba Latiffah kwenda kwa mtoa mada..
 
Zari ndiye anayemjua baba halisi wa mtoto. Awe wa Ivan au wa Diamond we have nothing to discuss. Haitusaidii hata kidogo. Role yetu kwenye familia ile ni kumsapoti tu Diamond katika kazi zake kwa ya uzalendo wetu. Tukitumia muda wetu kujadili yasiyotusaidia ni hasara maana tungetumia muda huo kujengana kiuchumi, kijamii, kiimani and the like. Ni mawazo yangu tu, I stand to be corrected.
Pombe yangu mimi ni Maury Show na huu ni mwaka wa sita naangalia religiously. Baada ya kuwa "expert" wa hii show naweza kusema kwamba yawezekana hata Zari hamjui baba wa mtoto. Huwa navunjika mbavu mwanamke anapoibuka na mabwana wawili akidhani kuwa mmoja wao ndiye baba lakini wote wanaishia kuwa siyo. Mwanamke akipigwa huku na huko halafu akashika mimba wengine huwa hawajui dad ni nani na wanaishia kumbambikizia yule wanayedhani kuwa yuko poa hasa economically na emotionally. Waende kwenye Maury tuone seke seke.
 
Hivi unaanzaje kumdiscus mtu mpk kumuanzishia thread....daah..huna kazi..yn kabisaaa naweka bando naingia jf naanza kumdiscuss tiffa... asilimia kubwa ya watu wengi humu hao baba zenu mmesingiziwa...siri anaijua mamako...plz acha ufala
Wewe tofali umezoea kubebwa nakujenga majumba makubwa na kuta ndefu endelea hivyo hivyo kutumika na huyo bwana au hawara sijuwi but take care before ye write any thing. watu kama wewe wameshajikwaa sana na mpaka leo hawajajuwa nini kimewakwaa. kama unafikiri alichafanya kipo sawa usisahahu kuja hapa kutetea umbulula wake akishaumia. vijana mnapenda kulabila kutoa jasho eeee masikini wakubwa
 
Back
Top Bottom