Tetesi: Eti Baby Latifah sio wa Diamond

Tunaomba isiwe kweli awe mtoto wa Daimond, mana jamaa asije akaja akampeleka mahakamani kwa kudai amezaa na mkewe halafu akamwambia amlipe fidia kedekede ili mradi ammalize ndugu yetu Nasib, Waganda ni wabaya mno hawaaminiki, wana roho Fulani haieleweki kabsaa. kijana wa watu asije akawa anawekeza kumbe anamuwekezea mtu mwengine ili aje amdai fidia, watz hatutakubali kabsaa. Naoan vita ya kagera itarudi tena ha ha ha lol.
 
mkuu umeandika mpaka moyo wangu umeumia
 
Huyo mtoto wa2 wanaongea tu haiitaji hata DNA mtoto ni wa chibu kwa kuangalia tu kwa macho....wacheza vigodoro wanahangaika sana ila itafika mahali watanyamaza....chibu fanya juhudi uongeze mdogo wke lazma wafunge midomo
 
Kiukweli Diamond kajichanganya sana kwa zali hatukatai alikuwa anatafuta kick zaidi kwa bosslady japo nae zari kaboostiwa sana na mond kujulikana ila very soon tutampoteza kijana huyu kwa wimbi la mawazo mana background ya zari ni kudate na mtu either famous sana au awe na pesa mno so diamond mziki wake watu wanauchoka atapotea na zari atabwaga na kutojiweka karibu nae hapo ndo kijana wetu ataona kwanini asingeoa mtoto maarafu wa hapa bongoland tu au kigoli ambae si famous? Kumbuka zari ana battle sana na wadada wa team wema ivo mond akifulia sidhani kama bongo land atapaweza kupakaaa
 
Huyo mtoto wa2 wanaongea tu haiitaji hata DNA mtoto ni wa chibu kwa kuangalia tu kwa macho....wacheza vigodoro wanahangaika sana ila itafika mahali watanyamaza....chibu fanya juhudi uongeze mdogo wke lazma wafunge midomo
UNAWAJUWA WATOTO WA IVANI?
 
Hebu muacheni kijana wa watu ale maisha na mkewe, huyo mtoto hata bila dna hata kipofu akigusishwa tu mdomo atajua ni motto wa Diamond- mdomo ndio brand yake haiyumkiniki Tiffah nae atakuja kuwa musician inshallah..sijui mnalolitafuta ni nini...huyu jamaa namsifu sana kwa kuyabwaga mangurubange ya kibongo ambayo ndo yanaona wivu kwa hii couple..mangurubange ya kibongo ndio yangemfilisi sana na hayanaga mapenzi ya kweli.Huyo Zari sidhani hata anababaika na hio pesa na anaonekana amempenda Diamond mapenzi ya dhati,bata wanazokula sasa hivi ni part n' parcel ya maisha yao na hayawahusu nyie mangurubange!fyuuuu.
 
Awe wa Diamond au Ivan wewe inakusaidia nini?
 
Tabloid trash!

Na huyo jamaa inaelekea anaumia sana kuona 'mkewe' wa zamani akitoka na Diamond sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…