Eti CCM wanamshambulia Comedian Said Said, kisa utani kwa Rais ulopitiliza!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Urais ni mamlaka ya juu kabisa hapa Duniani, chini yake unaongoza watu wa Kila aina ,wanaokutizama wee kama TUMAINI LAO LA MWISHO.

Rais anafaa muda wote kusikiliza Busara, Hekima na mashauri ya viongozi wa Dini na watu wenye Hekima kama Akina Daniel wa Biblía

Sasa Mnamwandalia Rais vitamasha Uchwara, alafu "mnamwambia Mama hiyo ni fursa ya kujiuza na kuzungumza na wananchi"...

Naye kwakua vitu anapenda ,vitu vya pwaniowani ,vitu vya kizenji ,anatoa Mguu ( inafikia wakati ,watu wanamuuliza kwenye Birthday ya mtoto wa Paula ).

Kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia ,Harmo kaachana na Kajala Mama, Manara karudiana na Zalisa Mama, Mama Kuna deal umenikosesha mama tungepiga Hela .

Hivi kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia masuala ya kupelekana Moto??🤣🤣

Ndugu zangu tembeeni muone, Akili ya Mtanzania, huwezi ikuta Mahali popote hapa Duniani .!!.
 
Na ukikosea tuli Jina lake unakuwa Kama unamkanya .

saidi saidi.
 
Shida ni Samia siyo said kujiweka karibu karibu na wahuni kama akina mwijaku na kitenge
 
Urais ni mamlaka ya juu kabisa hapa Duniani, chini yake unaongoza watu wa Kila aina ,wanaokutizama wee kama TUMAINI LAO LA MWISHO.

Rais anafaa muda wote kusikiliza Busara, Hekima na mashauri ya viongozi wa Dini na watu wenye Hekima kama Akina Daniel wa Biblía

Sasa Mnamwandalia Rais vitamasha Uchwara, alafu "mnamwambia Mama hiyo ni fursa ya kujiuza na kuzungumza na wananchi"...

Naye kwakua vitu anapenda ,vitu vya pwaniowani ,vitu vya kizenji ,anatoa Mguu ( inafikia wakati ,watu wanamuuliza kwenye Birthday ya mtoto wa Paula ).

Kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia ,Harmo kaachana na Kajala Mama, Manara karudiana na Zalisa Mama, Mama Kuna deal umenikosesha mama tungepiga Hela .

Hivi kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia masuala ya kupelekana Moto??🤣🤣

Ndugu zangu tembeeni muone, Akili ya Mtanzania, huwezi ikuta Mahali popote hapa Duniani .!!.
That is her personality! What a surprise????
That is only she can do, they know her well that’s why they acted the same. If she was serious the comedian would have been serious as well!
#samiamustgo
 
Kua uyaone wanasema Waswahili, Leo tunaona urais wa kuhushuria vitu vya kitoto sana.
Marehemu Mwinyi alijutia kuhudhuria onnyesho la Kanda Bongoman na hakurudia ujinga huo tena
Hakika Mkuu
 
Urais ni mamlaka ya juu kabisa hapa Duniani, chini yake unaongoza watu wa Kila aina ,wanaokutizama wee kama TUMAINI LAO LA MWISHO.

Rais anafaa muda wote kusikiliza Busara, Hekima na mashauri ya viongozi wa Dini na watu wenye Hekima kama Akina Daniel wa Biblía

Sasa Mnamwandalia Rais vitamasha Uchwara, alafu "mnamwambia Mama hiyo ni fursa ya kujiuza na kuzungumza na wananchi"...

Naye kwakua vitu anapenda ,vitu vya pwaniowani ,vitu vya kizenji ,anatoa Mguu ( inafikia wakati ,watu wanamuuliza kwenye Birthday ya mtoto wa Paula ).

Kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia ,Harmo kaachana na Kajala Mama, Manara karudiana na Zalisa Mama, Mama Kuna deal umenikosesha mama tungepiga Hela .

Hivi kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia masuala ya kupelekana Moto??🤣🤣

Ndugu zangu tembeeni muone, Akili ya Mtanzania, huwezi ikuta Mahali popote hapa Duniani
Rais anahudhuria event nyingi ambazo utaona si muhimu, lakini ni mkakati mzuri sana wa kisiasa. Hata yeye hapendi lakini hiyo ni kazi
 
Huyo dogo kafanyaje nasikiahata roporopo Dotto Mgari anamlaani huyo dogo.
 
Urais ni mamlaka ya juu kabisa hapa Duniani, chini yake unaongoza watu wa Kila aina ,wanaokutizama wee kama TUMAINI LAO LA MWISHO.

Rais anafaa muda wote kusikiliza Busara, Hekima na mashauri ya viongozi wa Dini na watu wenye Hekima kama Akina Daniel wa Biblía

Sasa Mnamwandalia Rais vitamasha Uchwara, alafu "mnamwambia Mama hiyo ni fursa ya kujiuza na kuzungumza na wananchi"...

Naye kwakua vitu anapenda ,vitu vya pwaniowani ,vitu vya kizenji ,anatoa Mguu ( inafikia wakati ,watu wanamuuliza kwenye Birthday ya mtoto wa Paula ).

Kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia ,Harmo kaachana na Kajala Mama, Manara karudiana na Zalisa Mama, Mama Kuna deal umenikosesha mama tungepiga Hela .

Hivi kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia masuala ya kupelekana Moto??🤣🤣

Ndugu zangu tembeeni muone, Akili ya Mtanzania, huwezi ikuta Mahali popote hapa Duniani .!!.
CCM wanadharau sana kiti cha Urais.

Rais anapofanya mikutano ni muda muafaka kujua kuna nini kinachofanyika ndani ya nchi yake.
Wananchi wanapokuja sio kuangalia watu wa sanaa. Huo muda wa kutumbuiza wangempa mwanchi aelezee anayoyaona anapokutana na jamii na nini kifanyike.
 
Urais ni mamlaka ya juu kabisa hapa Duniani, chini yake unaongoza watu wa Kila aina ,wanaokutizama wee kama TUMAINI LAO LA MWISHO.

Rais anafaa muda wote kusikiliza Busara, Hekima na mashauri ya viongozi wa Dini na watu wenye Hekima kama Akina Daniel wa Biblía

Sasa Mnamwandalia Rais vitamasha Uchwara, alafu "mnamwambia Mama hiyo ni fursa ya kujiuza na kuzungumza na wananchi"...

Naye kwakua vitu anapenda ,vitu vya pwaniowani ,vitu vya kizenji ,anatoa Mguu ( inafikia wakati ,watu wanamuuliza kwenye Birthday ya mtoto wa Paula ).

Kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia ,Harmo kaachana na Kajala Mama, Manara karudiana na Zalisa Mama, Mama Kuna deal umenikosesha mama tungepiga Hela .

Hivi kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia masuala ya kupelekana Moto??🤣🤣

Ndugu zangu tembeeni muone, Akili ya Mtanzania, huwezi ikuta Mahali popote hapa Duniani .!!.
Mwenyewe alifurahi sana niliona anachekelea mpaka anakaribia kudondoka
 
Kua uyaone wanasema Waswahili, Leo tunaona urais wa kuhushuria vitu vya kitoto sana.
Marehemu Mwinyi alijutia kuhudhuria onnyesho la Kanda Bongoman na hakurudia ujinga huo tena
Huyu asingekuwa rais angekuwa anakesha kwenye harusi na kapu la mama.
 
Back
Top Bottom