Eti CCM wanamshambulia Comedian Said Said, kisa utani kwa Rais ulopitiliza!

Eti CCM wanamshambulia Comedian Said Said, kisa utani kwa Rais ulopitiliza!

Urais ni mamlaka ya juu kabisa hapa Duniani, chini yake unaongoza watu wa Kila aina ,wanaokutizama wee kama TUMAINI LAO LA MWISHO.

Rais anafaa muda wote kusikiliza Busara, Hekima na mashauri ya viongozi wa Dini na watu wenye Hekima kama Akina Daniel wa Biblía

Sasa Mnamwandalia Rais vitamasha Uchwara, alafu "mnamwambia Mama hiyo ni fursa ya kujiuza na kuzungumza na wananchi"...

Naye kwakua vitu anapenda ,vitu vya pwaniowani ,vitu vya kizenji ,anatoa Mguu ( inafikia wakati ,watu wanamuuliza kwenye Birthday ya mtoto wa Paula ).

Kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia ,Harmo kaachana na Kajala Mama, Manara karudiana na Zalisa Mama, Mama Kuna deal umenikosesha mama tungepiga Hela .

Hivi kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia masuala ya kupelekana Moto??🤣🤣

Ndugu zangu tembeeni muone, Akili ya Mtanzania, huwezi ikuta Mahali popote hapa Duniani .!!.
Huu uzi ndo nilikuwa nautafuta, shukrani sana😂
 
Rais anahudhuria event nyingi ambazo utaona si muhimu, lakini ni mkakati mzuri sana wa kisiasa. Hata yeye hapendi lakini hiyo ni kazi
🚮🚮🚮🚮

Wewe ndo unazo akili tunazozikemea hapa, shwain
 
Back
Top Bottom